πππ wee tuchart bwanaa shangazi, tumekuja tuoa stress anae taka kuleta stress zake atabaki nazo mwenyewe ebuu tuenjoy sieTena sikuhizi sipaelewi elewi kabisa humu!!! Nimehisi kitu!!
Sitaki nikufiche na sina unafiki mwayaaa, wee unatafutiwa bifu, yaan wanakuchokonoa ili ujilipue hao wahusika wapate nafas ya kubattle nawee,Niweze wapi mie wanijua nitalia na roho yangu tu hakii!!
Utoto unawasumbua tu, kupambana na ID mie naishia kuwatukana na nilivyo πππ sikwepeshi hata secondWeeeeehh tahadhari muhimu baba pasta lazima tukae kwa kutulia sana!!
Yesu na maria !ππSitaki nikufiche na sina unafiki mwayaaa, wee unatafutiwa bifu, yaan wanakuchokonoa ili ujilipue hao wahusika wapate nafas ya kubattle nawee,
Maana kila mbinu inatumika kukuchokoza, wamekukuta hujari wala nn, ko inatafutwa kila angle hadi ujichomeke wakupate, hii selfika wee ukituma picha, lazima baadhi ya watu wahusishe na mtu mwigne, WHY?
Kwann hao wahusika wasije wenyewe hapa? Au wanatafuta kuonesha wee ndo dhaifu? Nakusihii kitu kidogo kitapoteza merits zako hapa jukwaani. Yaan unaona sometimes mada hazihusiki au za jukwaa lingine linaletwa hapa, KWANINI?
Tafakari na uchukue hatua, kuwa makiniii. Mie nimemalizaaaaaaaah
Ndiwooooππππ wee tuchart bwanaa shangazi, tumekuja tuoa stress anae taka kuleta stress zake atabaki nazo mwenyewe ebuu tuenjoy sie
Msiwakuze wapumb.avu na malofa mtu anaetaka kupiganisha ID vs ID huyo kichwani ana makamasi ya covid ... Ebu Shangazi mahondaw tuendelee kufurahia maisha achana na choko choko mama la mamaa πππSitaki nikufiche na sina unafiki mwayaaa, wee unatafutiwa bifu, yaan wanakuchokonoa ili ujilipue hao wahusika wapate nafas ya kubattle nawee,
Maana kila mbinu inatumika kukuchokoza, wamekukuta hujari wala nn, ko inatafutwa kila angle hadi ujichomeke wakupate, hii selfika wee ukituma picha, lazima baadhi ya watu wahusishe na mtu mwigne, WHY?
Kwann hao wahusika wasije wenyewe hapa? Au wanatafuta kuonesha wee ndo dhaifu? Nakusihii kitu kidogo kitapoteza merits zako hapa jukwaani. Yaan unaona sometimes mada hazihusiki au za jukwaa lingine linaletwa hapa, KWANINI?
Tafakari na uchukue hatua, kuwa makiniii. Mie nimemalizaaaaaaaah
ππππ napenda sana harufu yakoo na unavyojua kudekaa mie hoi π€π€π€Ndiwooooπ
Hamana makubwa anaeleta ugomvi humu ananukia pencil au karamu hajui maisha au mchawi πππMbona makubwa haya!!
Huwa siwezagi kifinyia rohoni, kuna comments hapo juu, nilivyoiona ikanishtua afu somehow km kuna ID zipo kimkakati, nakukumbusha hii ni JF?Yesu na maria ![emoji134][emoji134]
!! Mie nimewafanyeje kwani mbona niko zangu bize na selfika tu mie!!!!
Asante kwa kuni alart shos!
Nitanunua kesi Shangazi na siku sija mtawanya mtu ππππππππ nitakumbushia mapigo yanguWeeeeeeeehhh baba pasta
ebu nikae kwa kutulia kwakweli!! Mie ligi siziwezi kabisa!
Hata mie nashangaa hufu full maisha ya nadharia watu wanakuwa serious tenaa au tuwapime mikojo πππ
JF hii baba pasta, usimdanganye mwenzio, ndo maan nasema naye.Msiwakuze wapumb.avu na malofa mtu anaetaka kupiganisha ID vs ID huyo kichwani ana makamasi ya covid ... Ebu Shangazi mahondaw tuendelee kufurahia maisha achana na choko choko mama la mamaa [emoji41][emoji41][emoji41]
wee wasema tu hapo wakianza kunichamba ndiokwanzaaaa mnakolezea uzuri hili nalielewa kabisa!!Hamana makubwa anaeleta ugomvi humu ananukia pencil au karamu hajui maisha au mchawi πππ
Kuna nini kwanza potii mbona sjaelewaHata mie nashangaa hufu full maisha ya nadharia watu wanakuwa serious tenaa au tuwapime mikojo [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ile 'Ride With U'πππππView attachment 2245687
Naomba ile 'Ride With U'π
Umenikumbusha mbali sana
Mie nimejaribu kukupa angalizo, sitaki likukute jambo.baba pasta Anajitoa ufahamu tu kunijaza! Hivi nimewafanya nini kwani mie???