Ooh Asante kwa maelezo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaan iko hivi,
Kuna wanaume wasumbufu, hawaeleweki, au hawajali ktk mahusiano, sasa bint abiud ndo akasema ikifikia hivyo huwa hatazami nyuma anaachia ngazi, labda awe na pesa wa kutuma miamala ndo kidogo anaweza ku delay.
Mie ndo nkajibu, wa miamala huwa haachwi analizwa kimya kimya.
eehNimekutag
[emoji23]uwahi
sawaNitakutag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahKuimba kikubwa bwana wewe "kucheza na mic"
[emoji23]shauri yakoWee kumbe!! Ndio nataka kupunguza love bubble mie!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji8]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] pesa kwanza mengine baadae, huku una balance mambo, ila ukicheza vibaya. risasi 7Ooh Asante kwa maelezo
So huyu wa miamala unabaki kwake lakini unakuwa mguu nje ndani , Upo tu kwa ajili ya pesa zake ?
Sema ukipenda unaweza jikuta unabaki tu humo
Love is blind
Nakutazama tu mpwa na kamanda Mzab hapo ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
hahahaha.wadada nyie mwenye hela analizwa,asiye na hela pia vile vile,dah aiseeAnalizwa vipi huyo ?
Sio ndo kuheshimiwa huyo sasa [emoji23]
[emoji23][emoji23]mzabzab anataka kunifundisha Tabia mbayaNakutazama tu mpwa na kamanda Mzab hapo ....
Hahhaha hapo sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] pesa kwanza mengine baadae, huku una balance mambo, ila ukocheza vibaya. risasi 7
Paah paah paah paah paah paaah paaah. Woiiiiiiiiih
santeeeeeeeh!! Naona chuichui kwa mbaaaaaliiiiii!!😘😘😘😘Hapa roho kwatuuuuu!!
Hahha unajua kuhamasishasanteeeeeeeh!! Naona chuichui kwa mbaaaaaliiiiii!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hapa roho kwatuuuuu!!
Hii pisi kali imeniuma sana. Halafu tukiwaambia vijana kuwa wasioe pisi kali kama hawana kifua hawaelewi.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] pesa kwanza mengine baadae, huku una balance mambo, ila ukicheza vibaya. risasi 7
Paah paah paah paah paah paaah paaah. Woiiiiiiiiih
Mimi mwenyewe nauliza tu hapahahahaha.wadada nyie mwenye hela analizwa,asiye na hela pia vile vile,dah aisee
Sawa[emoji41]sawa
Sasa yeye alitaka pesa, huku furaha yake iko kwa mtu mwingine lol. Kaishia kufukiwa chini. Daaaah.Hahhaha hapo sasa
Kama huwezi kubalance bora ubaki kwa miamala huyo .. ya nini kujipa stress bure [emoji23].
Huyo dada aisee alikuwa mrembo mno
So sad
Mimi mbona huwa sivutiwi na wanaume wenye hela aunt njoo nipe muongozo itakuwa ninanyota ya umaskini ama[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] pesa kwanza mengine baadae, huku una balance mambo, ila ukicheza vibaya. risasi 7
Paah paah paah paah paah paaah paaah. Woiiiiiiiiih
Nauliza tu mieMungu anawaona wadogo zangu mtakuja kuwakumbuka hao mjue!!![emoji848][emoji848]