Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah! acha niende zanzibar, kucheki koloni langu kwa suprise
tunashtuana hivi
Kuna steji na umri fulani katika maisha ukifikia yaani wala hujali who is swimming with you in the swimming pool as long as you are also swimming...

Uoe pisi kali hizi slei kwini hizi halafu utegemee ku-swim peke yako? We ulisikia wapi?

Ndo maana watu wanazipiga wee halafu wakitaka kutulia wanakwenda kuoa pisi zenye sura na maumbo personal wanatulia tulii na kula mema ya dunia bila bughudha
 
Kilamtu awe natako si mtavunja shingo kugeukia ndo maana tukawepo sie mnapat mda wa kupumzika
Ila hili nalo neno...sasa flatscreen ndio unakuta nao wana sifa zao kama hivi wewe hizo lips inaelekea unaimba vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…