Ni kwamba hapa kundi kubwa la watu (wake kwa waume) ni wazee wa Kugambeka (Ulabu/MitungiNa majina mengine) kwa saaana....Kuna uzi Kaunzisha Bw. Mshana jr. Nimeona wachangiaji wengi sana ambao wamekoshwa na ujio wa mada ile na kuhisi kama vile wameletewa uwanja wa kujimwaga humu Jf....kwa sisi...