Selfika na JF: Snap it. Show it

We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! 🤣🤣 Usikubali mkuu lipiza aisee 😂 amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu 😞
Acha uchochezi poker !!! Itakua Unapenda ligi mkuu selfika ni utu na utulivu hizo ligi tuwaachie makapu!!
Haya tulieni hivohivo mlivo napita naked kabisa!!
 
We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! 🤣🤣 Usikubali mkuu lipiza aisee 😂 amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu 😞
Hahaha hayo ya kuchocheana tumewaachia wavulana mkuu...povu langu huwa halitoka hovyo nikiamua kutoa povua huwa nakuoatia na sabuni kabisa ya kufulia mwezi.
So usitegemee nikurupuke kutoa povu hovyo😂

Pia uelewe kuwa siku hazifanani unaweza kumtania mtu kwa uzuri kumbe ana hasira alipotoka ukaishia kupigwa jiwe😆😆
 
Nimesema tulieni hivohivo hamjasikia lakini???😉
 
Ila mkuu una roho ya kipekee sana sio mwepesi wa hasira ila cku nyingine kwa maoni yangu Usikubali kabisa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…