Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole na samahani mkuu.
Sikujua kama hii itakuudhi.
Kuhusu utani mimi na wewe sio mara ya kwanza..tangu tukiwa uzi wa likes.

Mimi sitakulaumu siku huwa hazifanani huenda haikuwa siku njema kwako.

Nikujuavyo siku zote u mtu poa na muungwana.
Iwapo kwa namna yoyote imeonyesha nimekudhalilisha..narudia kukuomba radhi na amani itawala.

Sisi ni watu wa kupita na siku zote tuko hapa kwa ajili ya kufurahi kwani siku za mwanadamu ni chache ..ndio masna hapa kufurahi na si vinginevyo.

Pole ndugu.
Na uniwie radhi
Shimba Ya Buyenze
 
Poker naona umefurahi na
mahondaw πŸ˜…
 
Mbona ni kawaida mnazipiga kiume ..mnajifuta na maisha yanasonga mbeleπŸ˜‚πŸ˜‚

Au ulitaka na mimi nitoe povu? πŸ˜‚πŸ˜‚
We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! 🀣🀣 Usikubali mkuu lipiza aisee πŸ˜‚ amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu 😞
 
πŸ€£πŸ˜‚ Naona umepewa za uso! πŸ™ŒπŸ€£ Mbavu zangu!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 naomba uselfike mkuu!!πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…