[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka mnoo, sasa nitanie kweli?Pole mjukuu. Boya gani tena kajichanganya na kukupiga chini pisi kali kama wewe?
Ila najua unatania....
Huo uwanja wa mpira? [emoji6][emoji6][emoji6]Sijaonja kabisa mpendwa. Na nina muda mrefu kweli sijaonja. Niko tu nakata majani hapa sema kuna jua hatari.
Kwa nini umesema hivyo mpendwa?
View attachment 2244034
Shouzzzzzz siku ya jana, ilikua mbaya kwangu,Halafu jana nilihisi hiki Kitu shos kumbe I was right!!
Mapema sana Nilihisi tu you are not okay!!
Relaxx shos angu everything gonna be okay!!
Weraaaaah shombe shombe wa kisomali huyu hapa, jaman mkuje somalian guy yuko huku.
Acha hizo coca!Weraaaaah shombe shombe wa kisomali huyu hapa, jaman mkuje somalian guy yuko huku.
Wakwapi hao?JF ina watuuuuu[emoji1544][emoji1533]
Ndyoooh somalian guy. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha hizo coca!
Mi sio msomali bana acha hizo cocaNdyoooh somalian guy. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona upo na mumeo unainjoy!#icecreamforbreakfast 🍦 🍨
View attachment 2244279
That's my boss bana 😆😆Naona upo na mumeo unainjoy!
Msomali koko wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sio msomali bana acha hizo coca
Hebu tumuone vizuri shemela,#icecreamforbreakfast [emoji509] [emoji510]
View attachment 2244279
Picha hiyo umeona vibaya!Msomali koko wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Irudiwee irudiwe jamani!!Picha hiyo umeona vibaya!