Ndo yenyewe π½ πππNdio haya mahindi ya jana
Sa nifanyeje na gari sina jamani....?U
Umepiga leggings safi kabisa....aise unapenda bajaj...ngoja niuze tvs yangu ninunue bajaji niwe dereva wako
Ndiyo uwe unaibuka frequently sasaπ€£π€£π€£Haha,
Shukrani zangu za dhati nazituma kwa kibagia changu Depal popote alipo,
Ujumbe: tukumbukane kwenye masuala muhimu kama haya'..!!
thank you C'ssy, it's my lucky day real..!π₯°π₯°
Ndyooo mwayaa.Mrembo kapiga leggings hatari...umeona upaja huo
Mwanamke mrembo kma wewe unajiendeshaje bwana...wee unatakiwa unatulia tuli huko nyuma unapiga picha zako na ku ipload hapa selfikaSa nifanyeje na gari sina jamani....?
Btw, sio kwamba mimi ndio ninunue ka bajaj kangu ili nijiendeshe mwenyewe?? π€π€
Haha,Ndiyo uwe unaibuka frequently sasaπ€£π€£π€£
Nitaanza kuwa nakutagβ¦ niambie tu unapenda kuwaona kina nani wakitupia, ili siku wakitupia chap nakuita πHaha,
Shukrani zangu za dhati nazituma kwa kibagia changu Depal popote alipo,
Ujumbe: tukumbukane kwenye masuala muhimu kama haya'..!!
thank you C'ssy, it's my lucky day real..!π₯°π₯°
Niko Indiaβ¦ sasa sishangai kabisa mie kuwa juisi ya pilipili π π πNachoshukuru nimekuwa ya embe, siyo juice ya pilipili kama wewe..!
Uje ijumaa kula biriani ya kuku.!
Kiazi mbatata wewe..!!
Haha,Nitaanza kuwa nakutagβ¦ niambie tu unapenda kuwaona kina nani wakitupia, ili siku wakitupia chap nakuita π
Usinikumbushe,Niko Indiaβ¦ sasa sishangai kabisa mie kuwa juisi ya pilipili π π π
Ngoja nitafute hela.. au patakuwa na free biriani kwa sisi staff?
π€£π€£π€£π€£ Nisije nikakosa sababu ya kutotupia sio??ππMwanamke mrembo kma wewe unajiendeshaje bwana...wee unatakiwa unatulia tuli huko nyuma unapiga picha zako na ku ipload hapa selfika
ππππππππ sasa kujitesa vipi!? Si ungeachana nayo tu hata kama ni tamuUsinikumbushe,
Kipindi nipo chuo kuna rafiki yangu alikuwa anatengeneza pilipili moja nzuri kweli nilikuwa naitumia hata nikiwa nanywa chai na maandazi asubuhi.!!
Bhaaana bhaaana..! yaliyokuwa yananikuta 'ofisi kuu', nilikuwa nalia machozi huko ndani, kitu kinawasha mpaka basii, najiapiza siigusi tena, wooii nikirudi duniani nasahau naila tena like nobody's business..!!
Alafu wewe dogo nitakupiga...............
Unaujua utamu-kuwasha lakini mdogo wangu.??ππππππππ sasa kujitesa vipi!? Si ungeachana nayo tu hata kama ni tamu
Wapi EPL na UEFA πππππππAlafu wewe dogo nitakupiga...............
Liver ni club bora duniani msimu huu hilo halina ubishi
Nataka kuupiga hapa na kiepeUnaujua utamu-kuwasha lakini mdogo wangu.??
Amekimbia [emoji23]Saint Anne njoo huku dada, nlikuambia city tumetolewa nyie hamtoboi, ulinipopoa sana,
Afadhar mwenzako nimechukua EPL, wee Carabao na FA, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]View attachment 2243298