😅😅😅Tafiti zinaonyesha kuna correlation kati ya mwanamke mwenye butts kubwa na IQ ya mtoto, hizo ni tafiti toka chuo cha Oxford.
Tafiti zinaonyesha wanawake wenye kalio wanatoa watoto smart kuliko flat-bottomed.
Sio mimi, wajuzi wa mambo.
Uko sahihi captain. Sasa imagine uoe pisi yenye kishundu cha Kinyaki halafu iko vizuri upstairs kiakademiki, watoto si watakuwa ma Einstein Jr au ma modern Marie Currie?Tafiti zinaonyesha kuna correlation kati ya mwanamke mwenye butts kubwa na IQ ya mtoto, hizo ni tafiti toka chuo cha Oxford.
Tafiti zinaonyesha wanawake wenye kalio wanatoa watoto smart kuliko flat-bottomed.
Sio mimi, wajuzi wa mambo.
Au tu imagine watoto wa Boss Lady. Mama yao alivyo vile halafu Mkemia sasa
Msukumaaaaaaaaaaaaaaaa ♥️♥️♥️♥️😘😘😘😘😘🤸🤸🤸🤸Uko sahihi captain. Sasa imagine uoe pisi yenye kishundu cha Kinyaki halafu iko vizuri upstairs kiakademiki, watoto si watakuwa ma Einstein Jr au ma modern Marie Currie?
Au tu imagine watoto wa Boss Lady. Mama yao alivyo vile halafu Mkemia sasa uwiii! Ni lazima wawe majiniazi aisee kwa sababu hakuna namna.
Zingatieni hilo vijana mnapotafuta wake. Enzi za kubahatisha bahatisha zimepitwa na wakati wa sababu sayansi inazidi kutufunulia siri zaidi kwa kadri muda unavyokwenda...View attachment 2241700View attachment 2241701View attachment 2241702View attachment 2241703
Ni kweli tupu hiyo Bosi Ledi...Msukumaaaaaaaaaaaaaaaa
Umenipaje maujiko uwiiiii
Asante sana msukuma
Asante sana msukuma!!Ni kweli tupu hiyo Bosi Ledi...
You are blessed!
Haha....Nalemhola sanaUmeunguza milioni 4+ hapa dah! Bayanda mna pesa za kuchezea sana...
Mhola bageshi?
Ūlīnakesi nhaale!
Nzūūgū gūkaya ūnibūje
Morning Lenie