kapoa huyo ana haha kutaka kujinasua, watu tuna mshauri ampate mtaalamu kweli, vingnevyo ataliwa pesa buree, wengine wana mshauri labda arud tena kwa baba wa mjengoni, woiiiiiiih.
kapoa huyo ana haha kutaka kujinasua, watu tuna mshauri ampate mtaalamu kweli, vingnevyo ataliwa pesa buree, wengine wana mshauri labda arud tena kwa baba wa mjengoni, woiiiiiiih.
Inavyosemekana anayeamua akili za watoto ni mama na siyo baba. Sasa siku hizi tumekazana kuoa kwa kuzingatia misambwanda bila kuzingatia vigezo vingine. Tukija kupata watoto vilaza tusilalamike
Tafiti zinaonyesha kuna correlation kati ya mwanamke mwenye butts kubwa na IQ ya mtoto, hizo ni tafiti toka chuo cha Oxford.
Tafiti zinaonyesha wanawake wenye kalio wanatoa watoto smart kuliko flat-bottomed.
Inavyosemekana anayeamua akili za watoto ni mama na siyo baba. Sasa siku hizi tumekazana kuoa kwa kuzingatia misambwanda bila kuzingatia vigezo vingine. Tukija kupata watoto vilaza tusilalamike
😅😅 Hii ni kweli pia nilisikia, na nina hisi hata makuzi mtoto asilimia kubwa yupo na mama, sema siku hizi wanakaa na wasaidizi wa majukumu ya nyumbani kipengele hapo unaweza kuta mtoto ana tabia za wapi sijui ... ingawa hii sio 100%.. Kuna wengine ukiangalia flow za akili unaona kabisa ni generation ya baba