Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo wa zambarau anaonekana ana kina balaa angalia kutoka kiunoni hadi kwenye Mbunye 🀣🀣🀣🀣!!
Kina kirefu raha, vina vifupi kidogo anaruka majoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vina virefu unakuwa unaitafuta ile kitu kwa ndani kwenye zile mishipa au basi acha niengie masjidi kwanza
 
Nimekumbuka mbali sn enzi za shule naitwa mbele na mwalimu kwenda kuchora,Hadi nikawa mchoraji wa darasa,kumbe kipaji hakizeeki..bado najitahidi

Mobile maksi hii madam mahondaw na madam sophy27
View attachment 2240510
Dahhhh!! Bios Utakua ulifaulu sana wewe!! Yani mulemuleeeeee!!!
Sasa hawa watoto wa mama Samia kwenye mtihani waambie wachore sikio la Human being hata kuangalia sikio la mwenzie kwa pembeni anashindwa yani!!
 
Dahhhh!! Bios Utakua ulifaulu sana wewe!! Yani mulemuleeeeee!!!
Sasa hawa watoto wa mama Samia kwenye mtihani waambie wachore sikio la Human being hata kuangalia sikio la mwenzie kwa pembeni anashindwa yani!!
Ahahah..kumbuka kuchora ni kipaji,Mimi nilikuwa macho tangu primary

Yes,nilikuwa mkali wa bios, chemistry na physics
 
Mm mbona naandika Sana hahha nikiwa deep tu naandika
kamassage kwa karatasi au bado Nina kautoto
Mwandiko wa mkono Una hisia..mtu akikutamkia anakupenda Kwa kutype Kwa mkono ktk karatasi ina maana kubwa kuliko anayetuma meseji WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…