Nina siku nne sijaona picha yako...and this is unacceptable!
Kabla hujalala bila shaka utaaga vizuri kama ilivyo kawaida yako...
...
Nilienda kununua matunda nikalalamika sipungui wakanishauri hivyo nitapungua... Theory ni nyingi kwa kweli .
We ni lizuri eye see.
nimekula nimeshiba kwann nisichachuke
Kama kunamtu ana GOODNIGHT BABY mbili anitumie moja nilale
kabisa na speed yako ya mkono inachangia ukiwa slow utaambulia manyoya wajuba wanapita nayo jui juuUnakuta ata hana habari kama kuna vocha zake maskini wee anaogopa zikiweka hapa hapati ata moja, shida anajanza namba moja moja wenzake wakifika ni copy na paste,🤭🤣😂😅
We shouzzzzzz unajua pa kuniwekea,huyu unaeza Kuta unatuma yeye Ndio kwanza analike na kuquote koments za jana sure za mchana kuja kufika currently kesho asubuhi!!
Hatulali sie.
Good night sweetheart.. 😅Kama kunamtu ana GOODNIGHT BABY mbili anitumie moja nilale
Woyoooooooooh!!!!
Niko bize kidogo. Jumamosi hii binti yangu anamaliza Middle School anakwenda High school. Nakwambia nakomaje. Kuna kwenda kutengeneza sijui nywele. Hivi ndo tumetoka kwenye kucha. Bado kuna gauni sijui lifanyweje. Na kesho kuna appointment ya kutengeneza kope na kupiga picha. Watoto wa kike kazi sana. Lingekuwa liJunia yaani ingekuwa ni haircut tu barbershop kazi kwisha....Nishatupia msukuma where were you lakini???
Ndio shos utazikuta huko!We shouzzzzzz unajua pa kuniwekea,
Asante Bosi Ledi. Hii nadhani tayari ipo kwenye makabrasha yangu lakini haichoshi kutazama. Asante mpendwa
Dogo ngoja kwanza ahitim chuo😁😁
Mabaharia siyo watu sis....
Kupungua labda uelemewe na gwaride....
Na afande awe na moyo wa Kikurya gwaride likianza ni gwaride kweli hamna kupumzika kunywa maji....
Na kweli ungepungua...japo kisaikolojia siyo poa kwa sababu unaweza ukawa unapungua mwili huku unadhoofika ndani na hata kuwa na hofu na trauma ya magwaride huko mbele ya safari.....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!! Mpe uhuru bany girl afurahie bana! Juniaz hawana muda wa kuremba!!Niko bize kidogo. Jumamosi hii binti yangu anamaliza Middle School anakwenda High school. Nakwambia nakomaje. Kuna kwenda kutengeneza sijui nywele. Hivi ndo tumetoka kwenye kucha. Bado kuna gauni sijui lifanyweje. Na kesho kuna appointment ya kutengeneza kope na kupiga picha. Watoto wa kike kazi sana. Lingekuwa liJunia yaani ingekuwa ni haircut tu barbershop kazi kwisha....
Ni valedictorian na anataka ang'are sawasawa. Shida tupu yaani
🤣🤣🤣🤣🤣Hio tast Nimemkabidhi Wige najua ataitendea haki !!Dogo ngoja kwanza ahitim chuo😁😁
Anataka kumficha nani kwani mbona anataka kujifunza vitu vizuri mdogo wetu😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣Hio tast Nimemkabidhi Wige najua ataitendea haki !!