[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aunt piga chini huyo akapambane na kondoo wenzie huko kanisani kwao. Wala asikupe tabu khaaahLabda ila huyu kanichosha Sana[emoji23][emoji23]jamn Hadi r iwe shida
Sasa Mambo ya maombi na tongozo kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi vijana wameokoka, hela wanatafuta sana na swagga kama zote. Hapo ndiyo unasema kwa maconfidence "I bagged myself a good man".
Kwani hawamuoni braza big humu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo lipo online muda wote.🤣🤣🤣Sijaona parachichi mama mchungaji
Na alivyo mmbea, atapitwa hapahapa
Na huwezi amini atakua kaikosa hii😅😅😅Na alivyo mmbea, atapitwa hapahapa
[emoji23][emoji23]kwakweli aunt asije akaomboleza wakat wa mechi[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aunt piga chini huyo akapambane na kondoo wenzie huko kanisani kwao. Wala asikupe tabu khaaah
Hahahaha ngoja aje, atatoaje mimachoNa huwezi amini atakua kaikosa hii😅😅😅
Wacha weee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au wanakutana na walokole wa kijijini ambao hata shule kichwani haipo?
Big ni mfano mzuri wa walokole wenye exposure [emoji2]
Halafu wapo wengii..
Ulokole wa bila maarifa ulipitwa na wakati.
Tuna kizazi Cha kisomi kinachomjua Mungu vizuri.
Unaakutana na mtu hadi unashindwa namna nzuri ya kumshukuru Mungu maana amepitiliza vigezo ulivyoomba.
Nishapitwa hiii kitamboooo sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Wacha weee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DJ waleteeeeeee, wakisindikizwa na wimbo wa "chaguo lako".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole yakoNishapitwa hiii kitamboooo sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjumbe nawazoom[emoji23][emoji23]Pole yako
Basi kaa kwa kutulia usitikise kope
Nyie nimecheka hapa, kuna shost angu aliyakanyaga kwa mlokole,[emoji23][emoji23]kwakweli aunt asije akaomboleza wakat wa mechi[emoji24]
Mjumbe juhudi zako tu au umeiwahi wewe nn😅Mjumbe nawazoom[emoji23][emoji23]
Ana bahat Sina halotel[emoji16]Mjumbe juhudi zako tu au umeiwahi wewe nn[emoji28]
Ilikuaje aunt[emoji23][emoji23][emoji23]wakaomboleza eehNyie nimecheka hapa, kuna shost angu aliyakanyaga kwa mlokole,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nikikumbuka mbavu cna, woiiiiiih.
Washapita nayo kitambooooo,
Vocha ya humu ikiwekwa haiko kwa ajiri yangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana bahat Sina halotel[emoji16]