Selfika na JF: Snap it. Show it

nilikua nafanya assgnment.
Jack palladino ameachia assignment?
Kuna ticha alikuwaga na mambo ya kiwaki...alitoaga assignment hata 50 zinavuka😂😂😂😂
Imagine ile semester ilikuwa miezi 2..kipindi cha covid.

Afu jamaa mnashinda mnafanya assignment zake kisa tu naye anasoma kwahiyo anachukulia assignment zetu uwanja wa kujisomea🤣
 
"In all things God works for the good of those who love Him, who have been called according to His purpose"
 
Acheni uvivu

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
kuna huyu baba jaman sijui ndo stress, yaan assignment had 10 kwa mkupuo, mie ananiboaga sana.

Tulivyomdukua tukaja jua hana mke, tukasema ndo maan ana haha na kutukomoa sie, lenyewe linaona sifa.

Utaskia "hamjaja hapa kushangaa fly over"

Linaniboa mnooo mie.
 
Yaani 🔥
Unakuta hata nyingine hamjadiscuss kufumba na kufumbua alishaachia nyingine, Cr anaituma kwenye group🙌
Watu walikuwa wanatukana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…