Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli. Huyu Mtumishi wetu kutoka Ethiopia hana makando kando huyu. Kamata Neno la wokovu bageshi...likalete mabadiliko ambayo hata Big Boy atafaidika nayo...

Napenda sana mvua sema sasa radi dah! I hate it na hapa radi zinapiga non stop yaani mpaka nyumba nzima inatikisika. Nipo home tu nakunywa tangawizi...
Mtumishi anajitahidi kwakweli yuko vizuri.
Wacha tu tumtukuze Mungu maana ndicho kilichobaki maisha yenyewe ni haya haya bageshi.

Radi hapo ndio inaharibu mwenyew napenda sana mvua nikiwa nimetulia ndani + hot drink hapo mambo yanakua burudani.
 
Back
Top Bottom