Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizi moments bana; uzisikie tu kwa wenzio. Lakini naamini pia kupata nafasi ya kuongea na mtu kwa mara ya mwisho ni neema sana aisee au hata kupata nafasi ya kumuaga tu kwa mara ya mwisho. Pole sana Captain; it is well.....
 
Kwa kweli hakuna cha kupinga Baba Mchungaji


Sema tu kwenye Mhubiri naona alikuwa kazeeka sasa keshaponda raha za kila aina ndo akaamua kushusha mikwara ya kufa mtu....eti ...Yote ni Ubatili. Selemani bana
 
Ni kweli mkuu, sie wanadamu tumepewa freewill, hata walio waovu wamepewa freewill, kwa hio Mungu ametuacha hivyo tuwe na freewill, hakuna tena freewill au maana ya freewill kama ataingilia kila maamuzi ya mtu.

NI vile utatumia freewill mwenyewe either towards the good way and be righteous or unrighteous way.

Watu wanauliza kwa nini flani ateseke kama Mungu yupo? nasema ni freewill, hata muovu amepewa freewill, akija kukufanyia uovu ana freewill, lakini Mungu ni mwenye haki, na yeyote kwa mabaya yake atalipwa.

Warumi 6:23
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti,
 
Upo sawa kama Brother Post M-alone

Ndio Maana anaitwa MIMI NIKO AMBAYE NIKO

Maisha yetu dunia ni kwa ajiri ya utukufu wa Mungu , kuwepo kwetu duniani Mungu ana makusudi yake. Tuilekeze mioyo yetu kwake Mungu, ili hata katika nyakati ambazo zimetuzidi upeo , basi yeye atutie nguvu
 
This is very deep Captain.

Mama aendelee kupumzika salama huko aliko. Na anaendelea kuishi kupitia kwako. Na wewe pass it forward...ili chain ya wema wake na legacy yake aliyoianzisha kwako iendelee. Maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…