Mtoto beautiful kama huyu alafu umetulia zako by the pool mrembo anakwambia can u plz apply sun lotion on my body....mweh mweh mweh...kwa kiwewe tuu unaweza jikuta una squeeze lotion nusu kopoπ€£π€£π€£π€£π€£ huku ukiamsha hema maeneo ya chamwino pale ikuluπ€£π€£π€£π€£π π π π Unaweza jikuta unaweweseka sasa
Tatizo husemagi mapema π₯΄π₯΄Ulinivia nitoke ndio uingie sawa tuu ππ
ππππ Hapo ndio utaambiwa weka order ya G-Wagon, na unaweka bila ubishi .. kuna watu ukiingia nao kwa room kama hii unakuwa kama umeingia peponi na hutokaa utamani utokee hasa kama huyo huyo...Mtoto beautiful kama huyu alafu umetulia zako by the pool mrembo anakwambia can u plz apply sun lotion on my body....mweh mweh mweh...kwa kiwewe tuu unaweza jikuta una squeeze lotion nusu kopoπ€£π€£π€£π€£π€£ huku ukiamsha hema maeneo ya chamwino pale ikuluπ€£π€£π€£π€£
Sasa na weusi huu sun lotion ya nini kama sio mbwembwe @Mzab πMtoto beautiful kama huyu alafu umetulia zako by the pool mrembo anakwambia can u plz apply sun lotion on my body....mweh mweh mweh...kwa kiwewe tuu unaweza jikuta una squeeze lotion nusu kopoπ€£π€£π€£π€£π€£ huku ukiamsha hema maeneo ya chamwino pale ikuluπ€£π€£π€£π€£
Ooh pole sana MkuuMwaka 2010, mama yangu mkubwa aliugua sana, alikuwa anaumwa ugonjwa wa ini tokana na kuwa alcoholic, kabla hajafariki aliugua coma, na hali haikuwa vizuri hata kidogo.
Huyo mama yangu amenisomesha, amenipa mwanga wa mambo mengi sana, maisha yake ya usichana ameishi ughaibuni, nikiwa mshamba kabisa nakwenda kumuona, nashangaa kila kitu, yeye alinipenda sana, na mie nilimpenda sana.
Nimekutana na marafiki wengi kwa sababu yake, na mambo mengine yote ni sababu yake.
Baada ya kuugua sana, watu walikata tamaa akiwemo baba yangu mkubwa ambae ni mmewe, kwa kweli nilimuomba sana Mungu ampe nafuu japo nipate kumuaga mama yangu kipenzi, hata nimwambie tu ahsante mama, anione mwanae anitambue roho yangu ifurahi.
Siku mbili baadae napata taarifa mama amepata nafuu yaani ametoka kwenye coma lakini ana wiki mbili ama mwezi kabla ini lake halija shutdown kabisa.
Namshukuru mungu nilimuona kwa mara ya mwisho , nilimshukuru kwa mema aliyonitendea, nilitoka hapo nalia, sikuamini kama kweli nimemuona akaniona mama yangu kipenzi, nilikua nae karibu sana kabla hajaanza ku hit bottles hard,namshukuru mungu alinipa wasaa kumuona mama yangu mara ya mwisho na kumwambia kwa heri.
Hakika mkuu naweza sema Mungu alisikia maombi yangu
Mungu hajibu kwa kile unachotaka bali unachohitaji.
1 Petro 3:12 NEN
Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.
Hii ni hujuma tuu ππTatizo husemagi mapema π₯΄π₯΄
Mpaka nishaingia #daladalaniView attachment 2238282
UkomeNilizinguana na genta Jana..nikawekwa kabatini nipumzike Kwa mida nipunguze presha
Thanks a lot TinsleyOoh pole sana Mkuu
PolesanaMwaka 2010, mama yangu mkubwa aliugua sana, alikuwa anaumwa ugonjwa wa ini tokana na kuwa alcoholic, kabla hajafariki aliugua coma, na hali haikuwa vizuri hata kidogo.
Huyo mama yangu amenisomesha, amenipa mwanga wa mambo mengi sana, maisha yake ya usichana ameishi ughaibuni, nikiwa mshamba kabisa nakwenda kumuona, nashangaa kila kitu, yeye alinipenda sana, na mie nilimpenda sana.
Nimekutana na marafiki wengi kwa sababu yake, na mambo mengine yote ni sababu yake.
Baada ya kuugua sana, watu walikata tamaa akiwemo baba yangu mkubwa ambae ni mmewe, kwa kweli nilimuomba sana Mungu ampe nafuu japo nipate kumuaga mama yangu kipenzi, hata nimwambie tu ahsante mama, anione mwanae anitambue roho yangu ifurahi.
Siku mbili baadae napata taarifa mama amepata nafuu yaani ametoka kwenye coma lakini ana wiki mbili ama mwezi kabla ini lake halija shutdown kabisa.
Namshukuru mungu nilimuona kwa mara ya mwisho , nilimshukuru kwa mema aliyonitendea, nilitoka hapo nalia, sikuamini kama kweli nimemuona akaniona mama yangu kipenzi, nilikua nae karibu sana kabla hajaanza ku hit bottles hard,namshukuru mungu alinipa wasaa kumuona mama yangu mara ya mwisho na kumwambia kwa heri.
Hakika mkuu naweza sema Mungu alisikia maombi yangu
Mungu hajibu kwa kile unachotaka bali unachohitaji.
1 Petro 3:12 NEN
Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.
_King
Unajihujumu mwenyewe mfalme πHii ni hujuma tuu ππ
Thanks a lot sophy27Polesana
Nimesoma vizuri sana, kuna vitu vingi sana nimeona katika kati ya kila mstari na sentesi uliyo andika.Mwaka 2010, mama yangu mkubwa aliugua sana, alikuwa anaumwa ugonjwa wa ini tokana na kuwa alcoholic, kabla hajafariki aliugua coma, na hali haikuwa vizuri hata kidogo.
Huyo mama yangu amenisomesha, amenipa mwanga wa mambo mengi sana, maisha yake ya usichana ameishi ughaibuni, nikiwa mshamba kabisa nakwenda kumuona, nashangaa kila kitu, yeye alinipenda sana, na mie nilimpenda sana.
Nimekutana na marafiki wengi kwa sababu yake, na mambo mengine yote ni sababu yake.
Baada ya kuugua sana, watu walikata tamaa akiwemo baba yangu mkubwa ambae ni mmewe, kwa kweli nilimuomba sana Mungu ampe nafuu japo nipate kumuaga mama yangu kipenzi, hata nimwambie tu ahsante mama, anione mwanae anitambue roho yangu ifurahi.
Siku mbili baadae napata taarifa mama amepata nafuu yaani ametoka kwenye coma lakini ana wiki mbili ama mwezi kabla ini lake halija shutdown kabisa.
Namshukuru mungu nilimuona kwa mara ya mwisho , nilimshukuru kwa mema aliyonitendea, nilitoka hapo nalia, sikuamini kama kweli nimemuona akaniona mama yangu kipenzi, nilikua nae karibu sana kabla hajaanza ku hit bottles hard,namshukuru mungu alinipa wasaa kumuona mama yangu mara ya mwisho na kumwambia kwa heri.
Hakika mkuu naweza sema Mungu alisikia maombi yangu
Mungu hajibu kwa kile unachotaka bali unachohitaji.
1 Petro 3:12 NEN
Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.
_King
π πππNimesoma vizuri sana, kuna vitu vingi sana nimeona katika kati ya kila mstari na sentesi uliyo andika.
Katika Maisha kuna kipindi wanaondoka tulio wapenda sana, Mama alihakikisha unasimama, na kusimama kwako unatakiwa kusimamisha wengi zaidi hiyo ni mbengu ambayo Mama ameipanda ndani yako.
Amepanda mbengu ndani yako, ukazae makumi.
Siku zote Mungu huwa ni Muaminifu na siku zote Mungu anatupenda
ππππ
Nilitegemea nitakutana na neno zuri km 'pole' badala yake 'ukome'Ukome
ππNilitegemea nitakutana na neno zuri km 'pole' badala yake 'ukome'
Fungu la kukosaππ
Asante sn..angalau wewe umeniambia neno la faraja.. Depal yeye kaniambia nikomee!!Pole
Mungu hata siku moja hana mpango wa kutuuzunisha wala kufanya nafai zetu zizimie. Hufanya jambo kwa utukufu wake..π πππ
2 Wakorintho 9:6-7
Kumbukeni: βApandaye kidogo huvuna kidogo; apandaye kwa wingi huvuna kwa wingi.β Kila mmoja, basi, na atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na wala si kwa huzuni au kwa kulazimishwa, maana Mungu humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.