Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahaha.jamaa itakua hana ukwasi ndo maana kapigwa chini,angekua vzr angeacha yy. Dah mwana kaachia jimbo
Eti kashindwa kulikontrol jimbo wakati jimbo linapenda kuwa kontrolidi....

Usikute Mnyaki wa watu kachoka kuzunguka na maavokado yake kwenye mikutano ya Mwakasege [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…