Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Kama nilituma voice note, imagine nilijitoa mhanga nikaji record naongea, ujue nilijilipua cause sauti inaweza kutumika ku authenticate au ku verify identity ya mtu, niliishia kupata emoji π³..Acha kabisaa, Nilikuwa natoa report kazini nikabakia naongea vitu havieleweki havihusiani na kazi hadi nikakata simu π π π π π kwanza akili ikae mahala pakee Ebu jaribu kumuomba mahondaw shangazi anaweza fanya jambo kwa ajiri yako
Nipo mwenyewe,naogopaUpo mwemyewe au π₯±π₯±
Nipo mwenyeweUpo pekee ako
π¬π¬π¬okMwambie google atusaidie kuondoa lile emoj basi π
Hhahahaaaa..Kama nilituma voice note, imagine nilijitoa mhanga nikaji record naongea, ujue nilijilipua cause sauti inaweza kutumika kuπ€£π€£ππππ authenticate au ku verify identity ya mtu, niliishia kupata emoji π³..
We nihadithie tu..
Pande za nyikaWapi hii? Ni pazuri kweri kweri.
Voice ni rahisi sana kumtambua mtu.. ulishtuka haraka ..Kama nilituma voice note, imagine nilijitoa mhanga nikaji record naongea, ujue nilijilipua cause sauti inaweza kutumika ku authenticate au ku verify identity ya mtu, niliishia kupata emoji π³..
We nihadithie tu..
Mungu akutunze, umetuacha mioyo myeupeee ππUsiku mwema wapendwa!!πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπ΄π΄π΄
Rudia ile pic ya kigauni ,tujisahaulishe ya dunia.Usiku mwema wapendwa!!πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπ΄π΄π΄
πππππMungu akutunze, umetuacha mioyo myeupeee ππ
Nimepata picha, hio inanitosha kabisa, kwa hio ametoka kuoga sivyo?Voice ni rahisi sana kumtambua mtu.. ulishtuka haraka ..
Namna ilivyo kuwa, umeisha ona picha kama kitamaduni unakuta mdada kala kitenge ( min ) na kujifunga kwenye maziwa wale huwa wanapaka mafuta wanang'aaa ? wanapiga picha nzurii ndio kitu alicho kishusha madama shnagazi mahondaw hapa ni mtafutano
Kurudia Tufanye kesho mkuu!πRudia ile pic ya kigauni ,tujisahaulishe ya dunia.
Kwa kale ka mg'ao kama yupo mpakati mwa kuoga au alikuwa anaensa kisimani ππNimepata picha, hio inanitosha kabisa, kwa hio ametoka kuoga sivyo?
Sawa mkuuKwa kale ka mg'ao kama yupo mpakati mwa kuoga au alikuwa anaensa kisimani ππ
π π π Pale ukifika unaweka tu goli maana kipa nae anakuwa kajiandaa kufungwaaSawa mkuu
Basi kuna jambo hapo lilitokea, itakuwa mmiliki wa Chelsea the blues aliomba mechi.