Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Bonge la suti from TurkeyMweh!!Kwa kuchochea Anne![]()

Bonge la suti from TurkeyMweh!!Kwa kuchochea Anne![]()

Sikuweza kunywa
Nilipewa zawadi..nikaishia kugawa kwa mgeni.
Aliigonga nje ndani..katika harakati za kutaka kujaribu..aisee nilikutana na harufu mbaaaya .


Ni ya kwako ndio lakini hio pombe si yako.Trusted source awe Wige??
Mkuu hiyo picha yangu kabisa.
Mwehhh acha kunijaza basi anne!!Bonge la suti from Turkey![]()
Tumuombe arudie tena for you aunt Alayna !!![]()
Tuachie sie.Sikuweza kunywa
Nilipewa zawadi..nikaishia kugawa kwa mgeni.
Aliigonga nje ndani..katika harakati za kutaka kujaribu..aisee nilikutana na harufu mbaaaya .
Japo umejiziba ila nashukuru nimekuona aisee Cha urembo




beautiful


_King naona hufanyi makosa





kama Alicia keys 🔥🔥
hahahaaaa.. Umechelewaaa!!
Mahaba fulu fuluuu huko😊Yupo njeem ila mbayaa yaani... ndio nimeingia nimekutana na mabusuuuu ya hatarii 😅😅🥸🥸 ebu mwanza tunaenda lini vile tarehe 28 itapendeza sana maana kuna events za kufa mtu.. kuna simba na yanga, kuna uefa final, kuna FOA 🤭🤭🤭
Eeeh tuna siku kama tano tuu hivi twendee eeh 🤭🤭🤭 fanya kata ticket ya go and returns fanya ya goo tu maana hakuna kurudi kama tulivyokubalianaMahaba fulu fuluuu huko😊
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama nyie😊
Trh 28 ya next week?
Yani saivi tukae kwa kutulia sana humu shangazi!!Kwakweli nitashukuru sana..
Naona na wajomba wengine sijui ni wapya?