Ahsante tunaomba nawewe pia uselfike hata mkono tuuNimeona japo wakati nakwoti nikakuta keshafuta.
Kuna mabinti wakali sana hapa we acha tu. Tena hawa wakimya kimya hawa mtu unakuwa unamuona ona tu unamchukulia poa kumbe ni pisi hatari!
Mpaka nimebutwaika yaani!
Asante nawewe pia uselfike sasa
Mkwe upoMarahabaaaa...
Asante kwa kuniheshimisha...
Nilikuwa nakusalimia tu [emoji1545]
Madam sijakuona LeoHelloowww [emoji2772]!
Usiondoke hapaAsante nawewe pia uselfike sasa
💕💕
[emoji3][emoji3][emoji848][emoji853]zimefutwa hivi mnatuchukuliaje sisi ambao toka mwaka juzi picha zetu zipo sefikaaa[emoji51][emoji51][emoji2372]
Ewaaaah!!
Madam na wewe tumemiss selfie yakoHelloowww 🖐️!
Nn kimeharibu mkuu!?[emoji177][emoji177]
Hiyo picha sasa imeharibuu
Nywele mrembo [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hahahahahaha 🤣 🤣 , mwenyekiti mbona umekaa kimya, KITI kinaruhusu sarakasi kweli??Nataka kupiga sarakasi 🤸♂️🤸♂️
UlimisikaNataka kupiga sarakasi 🤸♂️🤸♂️
Napanda juu ya meza 🤸♂️🤸♂️Hahahahahaha 🤣 🤣 , mwenyekiti mbona umekaa kimya, KITI kinaruhusu sarakasi kweli??
NioneNataka kupiga sarakasi [emoji2223][emoji2223]
Weka ITV niko liveNione