Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Bosi leo naona upako kama wote. Hivi na huko visiwani kuna makanisa wanachochea muziki na yale masipika yao ya kutetemesha mpaka madirisha na kuabudu kwa uhuru kabisa?
Bosi leo naona upako kama wote. Hivi na huko visiwani kuna makanisa wanachochea muziki na yale masipika yao ya kutetemesha mpaka madirisha na kuabudu kwa uhuru kabisa?
Hizi mbili tatu ni zipi hizo mdogo wangu?Mkutane sasa hapo chuga mpige mbili tatu na Mjep
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kichwa kimeshawaka moto tayari!

We ni mtu poa sana Mjep, mie sina shida na wewe you have made it clear, again I have hurt myself by hurting you..., sorry my friend.
peace mkuu.
Nakushukuru kwa hilo chief 🙏🙏🙏
Amani ni muhimu sana kaka mkubwa
Kuna siku sijui kanaamkia wapi jamaniKichwa kimeshawaka moto tayari!![]()
Mpige vyomboHizi mbili tatu ni zipi hizo mdogo wangu?
Leo nimeamkia mapajani kwa mama mchungaji ndio shida ila kesho nitaamkia chumba cha maombi 😅😅😅
NimekomaLeo nimeamkia mapajani kwa mama mchungaji ndio shida ila kesho nitaamkia chumba cha maombi 😅😅😅
Mkuu inabidi unifundishe kuangalia, mkuu utakua unajua mengi sana... hatari sana.😅😅😅😅😅 Kwa kuangalia rangi zao pia unajua kuna rangi za watu humu ni dk sifuri tuu chaali, kuna wengine wanaweza kukufanya uwahi na kuna wengine utanyooka unaweza pigaaaaa weeee kama usipojua formula ya A = Z una fail
Kuna wakuu huku juu wameweka mada wacha nikae kwa kupumzika nione kama nitaondoka na kitu🙄🙄🤣😋
Bosi leo naona upako kama wote. Hivi na huko visiwani kuna makanisa wanachochea muziki na yale masipika yao ya kutetemesha mpaka madirisha na kuabudu kwa uhuru kabisa?
Hapana mkuu, mkuu _King ametuahidi anatutafutia wanawake wazuri na hoteli ya nyota saba.. hio offer ni zaidi ya biaMkutane sasa hapo chuga mpige mbili tatu na Mjep
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
ahsante sana mkuu.Maneno machache; ila yamebeba maana nzito sana.
Mkuu sitokuahau, tunataka mkuu sana sana.Sasa acha niwatafutie ma manzi wanzurii wa kuwakojoza mkafurahi au hamtaki plus hotel za nyota saba au hamtaki au basi 🤭🤭🤭 hampendi hayo mambo
😅😅😅😅 Naamini huto angusha taifaaa, utawakilisha vyema sanaaaMkuu sitokuahau, tunataka mkuu sana sana.
Mkuu nakuja, najua sintotoka bila kitu..😅😅😅😅 Wakituruhusu kutumia rangi zao kama color code itapendezaa sana maana midano yote ipo sema ulipitwa na Alayna pale heeee ni 🔥🔥🔥