Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie leo kichaa changu kilipanda mara dufu, nimemuosha mtu huko, nusu atapike, akabaki anashilikia tumbo kuuma, na nilivyo mkaksi mbele ya watu.

Kuna mkaka akawa anasema mie nna mdomo mchafu, nkamjibu tena mchafu kweli, hata choo cha manispaa kinasubiri.

Nkawaona wanamuambia anipeleke Dean of Students, ndo nasubiri mrejesho, uzuri wake text zake zote ninazo.

Hahaha Coca
Dah nimemuonea huruma [emoji23][emoji23]
Hatorudia tena aisee [emoji23]
 
Uanze kulala sasa,kuamka hadi nikung'ate
emoji2957.png
Ning'ate kama hivi..
0.2.6.308677.924436.png
 
Back
Top Bottom