[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha!!!!!
Chungulia hapo π₯Ήπ₯Ήπ₯ΉNawee hiyo uliokuwa km Obama hebu niione kwan.
ππππππ kweli tena π₯²Niliirudia ya jana mjomba!!
ππππ Mungu nahisi mie jana sijalala kama vile na hadi sasa hivi sijalala yaaani.. Big Boy yupo powaa eeh π πKumekuchaaaa
Mmeamkaje na FIB?
ππππππ kweli tena π₯²
Sijaona hata mbna.Chungulia hapo π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
Nimepitwaaaa lol.Kumekuchaaaa
Mmeamkaje na FIB?
Ameiona bhana.Kweli coca hakuiona mjomba !
Jana ulikesha na nini jamani.ππππ Mungu nahisi mie jana sijalala kama vile na hadi sasa hivi sijalala yaaani.. Big Boy yupo powaa eeh π π
π€£π€£π€£π€£Nimepitwaaaa lol.
ππππ Mie kutokulala kawaida sanaaa .. nina capacity ya kukaa macho bila kusinzia siku nne kwa mfuatano na hili kuna siku nilifanya nikiwa na kazi mikoa mitatu kwa wakati mmoja na yote ilikuwa na uzinduzi sikulala na nilikuwa naendeshaa gari hadi walinivulia kofia maana huwa siamini kuendeshwa na mtu πππJana ulikesha na nini jamani.
Sasa kazi zinaenda kweli leoπ
Big boy yuko poa, anapambana huko kutafuta dolari
Msalimie Big boy basi .. Muambie nampa hiJana ulikesha na nini jamani.
Sasa kazi zinaenda kweli leoπ
Big boy yuko poa, anapambana huko kutafuta dolari
shos nakutafuta kwa waziri mkuu njoo mara moja!!Ameiona bhana.
Duuh wewe ni noma aisee.ππππ Mie kutokulala kawaida sanaaa .. nina capacity ya kukaa macho bila kusinzia siku nne kwa mfuatano na hili kuna siku nilifanya nikiwa na kazi mikoa mitatu kwa wakati mmoja na yote ilikuwa na uzinduzi sikulala na nilikuwa naendeshaa gari hadi walinivulia kofia maana huwa siamini kuendeshwa na mtu πππ
Awapi na uzuri unachangia ...uko mzuri na ngozi nyororooo plus guu la bia! Awwwwwwwwwww!![emoji8]
asanteeeeehhhhhhhh.... Very beautiful ππKumekuchaa View attachment 2235402