Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetoa code sasa, utasababisha mabaharia wakasumbue madogo wa kishua mtaaniπŸ˜…πŸ˜…
 
Jile ya mama chaulembo sio ya kitoto,nyau alijua kutetemesha yule,tena atubu kabisa
tuliwahi furushwa sie. Tulikua watoto wa primary km zaid ya 20, 2009 hiyo tulienda mto fulan kukwaa samaki, bhana wee kufika sehem kuna mawe makubwa tukatulia kumbe wao aidha watu tyuuh walikua wanataka kututisha,

Bhana wakajitokeza na mifuko na panga kwa mbali, baadae wakaanza kusema kaeni hapo hapo wee tulivyojiacha hapo khaaaah, nilipita sehemu ina upupu nilijitumbukiza,


Nashangaa nipo shamban kwa mtu, upupu sisikii kuwasha wala nn, hapo nahema balaaa, upupu nimekuja kuusikia nyumban, cha moto nilipata,
sitasahau. Mama chaulembo katukomesha yule mbwaaaa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wakapambane ila watoto ambao hawajaguswa kabisa wengi wao ni maisha bora, ila uswazi kupata ni mtihani ingawa naamini wapo ila kipengele kuwapata .. ila ushuani kama kusukuma mlevi
Uswazi mambo mengi na kama ulivyosema hali duni za maisha watoto wanashawishika.

Ila ushuani sio rahisi kushawishika kwa vitu vidogo since almost kila kitu anakipata.
 
Uswazi mambo mengi na kama ulivyosema hali duni za maisha watoto wanashawishika.

Ila ushuani sio rahisi kushawishika kwa vitu vidogo since almost kila kitu anakipata.
Eeh! Kula wapo wa kumwaga kama ukivizia likizo likizo kuna maeneo yao sema ujipangeee tu kubadirika uendana na swaga zao bila hivyo imekula kwako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€”πŸ€”
 
Umetoa code sasa, utasababisha mabaharia wakasumbue madogo wa kishua mtaani
Umenikumbusha nyuzi za mwanaharakati wa kuvalisha pete vitu ambavyo bado kwenye makaratasi...Mambo yameshabadilika na kama anavyosema Baba Mchungaji hapo uswahilini huku vibinti vidogoo unakuta tayari mabaharia walishapita navyo. Labda huko kwenye mageti makali japo nako kwa hali ya sasa mh!

 
Lile li mama lilishakamatwa,,nasikia walikuwa wanakata nyeti tu


Mungu atuepushe

Huo upupu umenikumbisha aisee,tukienda kuogelea mtoni wadau wanatia upupu majini aisee,ukimalza kuogelea utaomba ardhi ipasuke
,
 
Eeh! Kula wapo wa kumwaga kama ukivizia likizo likizo kuna maeneo yao sema ujipangeee tu kubadirika uendana na swaga zao bila hivyo imekula kwako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€”πŸ€”
Weweeee huogopi 30 yrs?πŸ€£πŸ˜›

Jaman imemuacha Big boy mwenyew, ananisubiri wacha nikamjoin tumalize siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…