Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,954 Reaction score 136,760 May 22, 2022 #202,221 Shimba Ya Buyenze said: Ulikuwa kwenye hilo basi mjukuu? Click to expand... Babu,nilivyo na wenge moyo ungestop yaani,
Shimba Ya Buyenze said: Ulikuwa kwenye hilo basi mjukuu? Click to expand... Babu,nilivyo na wenge moyo ungestop yaani,
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 22, 2022 #202,222 Shimba Ya Buyenze said: Hivyo vitu vinavyofanana na nundu ya ng'ombe vinamaliza upako haraka sana. Hapa penyewe naona kama vile umebakia nusu View attachment 2234793 Click to expand... Hapa inabidi bomba la kuunganisha maji liwe lefu likiwa fupi kazi ipo kidogo linachomoka watu hawapati maji π₯Έπ₯Έπ₯Έ
Shimba Ya Buyenze said: Hivyo vitu vinavyofanana na nundu ya ng'ombe vinamaliza upako haraka sana. Hapa penyewe naona kama vile umebakia nusu View attachment 2234793 Click to expand... Hapa inabidi bomba la kuunganisha maji liwe lefu likiwa fupi kazi ipo kidogo linachomoka watu hawapati maji π₯Έπ₯Έπ₯Έ
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 May 22, 2022 #202,223 cocastic said: Huyu mkewe si waliachana kisa kutaka kumtoa kafara mtoto wao, mke akakataa ndo likaanza seke seke had kuachana, na kuna tetesi ananua watu wa kuwatoa kafara, yaan huyu mbena mweeeh. Click to expand... Ni kweli au unamchafua mtu mpendwaπ³π³π³
cocastic said: Huyu mkewe si waliachana kisa kutaka kumtoa kafara mtoto wao, mke akakataa ndo likaanza seke seke had kuachana, na kuna tetesi ananua watu wa kuwatoa kafara, yaan huyu mbena mweeeh. Click to expand... Ni kweli au unamchafua mtu mpendwaπ³π³π³
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 22, 2022 #202,224 Mad Max said: No screenshots. Kumbuka. Click to expand... Nitawepeleka wapi screenshot mie
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 May 22, 2022 #202,225 cocastic said: nikupeleke muhimbili au mloganzila? Au nianze na dawa tatu kwan? Click to expand... Kama nakuona ulivyokuwa unayatoa macho ... Kutoka mtupu mchezo
cocastic said: nikupeleke muhimbili au mloganzila? Au nianze na dawa tatu kwan? Click to expand... Kama nakuona ulivyokuwa unayatoa macho ... Kutoka mtupu mchezo
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 May 22, 2022 #202,226 _King said: π π π kalala tayari hajala usiku nimempa nakozi Click to expand... π€£π€£π€£ jaman labda alishiba au ako kwa dayat. Kisa cha kumpiga mtoto wa watu ni nini lakini
_King said: π π π kalala tayari hajala usiku nimempa nakozi Click to expand... π€£π€£π€£ jaman labda alishiba au ako kwa dayat. Kisa cha kumpiga mtoto wa watu ni nini lakini
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 22, 2022 #202,227 mawardat said: Babu,nilivyo na wenge moyo ungestop yaani, Click to expand... Tupia ile kituuu π€π€
mawardat said: Babu,nilivyo na wenge moyo ungestop yaani, Click to expand... Tupia ile kituuu π€π€
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 May 22, 2022 #202,228 Mad Max said: No screenshots. Kumbuka. Click to expand... Hahahaaaa... Asante !
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 May 22, 2022 #202,229 Nuzulati said: Ni kweli au unamchafua mtu mpendwa Click to expand... Sasa taarifa za kuhusu hilo mkewe ndo alikua anatangaza nje. Wala sio Jambo la ajabu kusikika, Songea nzima wanajua. Labda wee mgeni na huyo mtu. Kwa taarifa zake.
Nuzulati said: Ni kweli au unamchafua mtu mpendwa Click to expand... Sasa taarifa za kuhusu hilo mkewe ndo alikua anatangaza nje. Wala sio Jambo la ajabu kusikika, Songea nzima wanajua. Labda wee mgeni na huyo mtu. Kwa taarifa zake.
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 22, 2022 #202,230 Lenie said: π€£π€£π€£ jaman labda alishiba au ako kwa dayat. Kisa cha kumpiga mtoto wa watu ni nini lakini Click to expand... Lazima achangamshwee sio anakaa kaaa kama yupo mbinguni π π π ili kesho kakija kudeka asubuhi kaje vizuri
Lenie said: π€£π€£π€£ jaman labda alishiba au ako kwa dayat. Kisa cha kumpiga mtoto wa watu ni nini lakini Click to expand... Lazima achangamshwee sio anakaa kaaa kama yupo mbinguni π π π ili kesho kakija kudeka asubuhi kaje vizuri
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 May 22, 2022 #202,231 _King said: Nitawepeleka wapi screenshot mie Click to expand... baba pasta huo upambe mwachie Wige na Anne
_King said: Nitawepeleka wapi screenshot mie Click to expand... baba pasta huo upambe mwachie Wige na Anne
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 May 22, 2022 #202,232 SteveMollel said: Kama nakuona ulivyokuwa unayatoa macho ... Kutoka mtupu mchezo Click to expand... weraaaaaaaaah weraaaaaaaaah.
SteveMollel said: Kama nakuona ulivyokuwa unayatoa macho ... Kutoka mtupu mchezo Click to expand... weraaaaaaaaah weraaaaaaaaah.
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 May 22, 2022 #202,233 cocastic said: Sasa taarifa za kuhusu hilo mkewe ndo alikua anatangaza nje. Wala sio Jambo la ajabu kusikika, Songea nzima wanajua. Labda wee mgeni na huyo mtu. Kwa taarifa zake. Click to expand... Aisee
cocastic said: Sasa taarifa za kuhusu hilo mkewe ndo alikua anatangaza nje. Wala sio Jambo la ajabu kusikika, Songea nzima wanajua. Labda wee mgeni na huyo mtu. Kwa taarifa zake. Click to expand... Aisee
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 22, 2022 #202,234 Lenie said: π€£π€£π€£ jaman labda alishiba au ako kwa dayat. Kisa cha kumpiga mtoto wa watu ni nini lakini Click to expand... Badae natupia ya mie na FIB ni π₯π₯π₯
Lenie said: π€£π€£π€£ jaman labda alishiba au ako kwa dayat. Kisa cha kumpiga mtoto wa watu ni nini lakini Click to expand... Badae natupia ya mie na FIB ni π₯π₯π₯
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 May 22, 2022 #202,235 _King said: Badae natupia ya mie na FIB ni π₯π₯π₯ Click to expand... Naomba unishtue mapemaa niwe hewani. Na me kesho nitaselfika na Big boy nitatumaπ
_King said: Badae natupia ya mie na FIB ni π₯π₯π₯ Click to expand... Naomba unishtue mapemaa niwe hewani. Na me kesho nitaselfika na Big boy nitatumaπ
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 May 22, 2022 #202,236 _King said: Lazima achangamshwee sio anakaa kaaa kama yupo mbinguni π π π ili kesho kakija kudeka asubuhi kaje vizuri Click to expand... Asubuhi katakuja macho yamevimba sababu ya kulia. Ila ni kacute, ulikaopoa wapiπ
_King said: Lazima achangamshwee sio anakaa kaaa kama yupo mbinguni π π π ili kesho kakija kudeka asubuhi kaje vizuri Click to expand... Asubuhi katakuja macho yamevimba sababu ya kulia. Ila ni kacute, ulikaopoa wapiπ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 May 22, 2022 #202,237 Nuzulati said: Aisee Click to expand... Na kulingana na matukio tunaanza kuamini kweli, alikuepo ottawa yule mbwaa aliokolewa na serikali kahamia makambako,.akionekana songea wanaua.
Nuzulati said: Aisee Click to expand... Na kulingana na matukio tunaanza kuamini kweli, alikuepo ottawa yule mbwaa aliokolewa na serikali kahamia makambako,.akionekana songea wanaua.
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,974 Reaction score 35,342 May 22, 2022 #202,238 Mjep said: Na wewe muige mama mchungaji sasa tukuone fullπ Click to expand... Ukiweka wewe na mimi nitaweka.
Mjep said: Na wewe muige mama mchungaji sasa tukuone fullπ Click to expand... Ukiweka wewe na mimi nitaweka.
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 22, 2022 #202,239 Lenie said: Asubuhi katakuja macho yamevimba sababu ya kulia. Ila ni kacute, ulikaopoa wapiπ Click to expand... π π π π Si unajua kila shetani na mmbuyu wake, nilikaopoa mahala hivi nisipataje wasije watu waka notes
Lenie said: Asubuhi katakuja macho yamevimba sababu ya kulia. Ila ni kacute, ulikaopoa wapiπ Click to expand... π π π π Si unajua kila shetani na mmbuyu wake, nilikaopoa mahala hivi nisipataje wasije watu waka notes
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,954 Reaction score 136,760 May 22, 2022 #202,240 _King said: Tupia ile kituuu Click to expand... IPI?