Selfika na JF: Snap it. Show it

mawardat

Mlongo ona hapa, afu kumbe hii gari ni mpya kabisaa, na leo ndo ilikua inazinduliwa, afu ilikua ni buree hakna nauli.

Jaman huyu mbena atamaliza wangoni, khaaaah wee ajari ni gari zake tyuuh, au ndo km tetesi zinavyosikika, naamini sasa na mie.

afu eti yeye anaulizia gari yake km ipo hali nzuri, mweeeeh

Dereva kavunjika mkono, konda na tingo wamepata majeraha makubwa na wengine pia.

Uwiiiioih had naogopa kusafiri.
View attachment 2234756
 
Duh so sad
Mungu awaponye majeruhi
Amen
 
Kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…