Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Sawa sawa
Ndiwooo
Ndiwooo
Yaaaniii
Mungu ni mkubwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa wewe ambaye hauna hivyo vyote mbona nahofia utachoma mahindi tu
Leo nimekula mdudu wa Junction pub. Mzuri balaa. Yuko kama wa Juliana na Mibs sema ile utamu utamu ndo wameitoa. View attachment 1252120
Usiniangushe bana
Mdomo wangu umebaki wazi
Hvi nimesema sina vyote kumbe!??
Rozario month View attachment 1252131
Sawa mdogo wangu mzuri mzuriUfunge dada nzi wataingiamo
MmmhhhSasa nitakuangushaje jamani dada si utaumia usijali sikuangushi nitakushusha taratibu tu hadi ufike chini
Naona kabisaa kakangu akiwowa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanini wasema hivyo??
Wewe uko kwa wapi hapo??
hujanifungiaKwako au
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwako kutoka kwangu
Kumbe ni kembamba hakana mwiliSinaga picha full huwa napenda selfie tu sipendi full na hata nikipiga full huwa naziangalia tu halafu nazifuta hapo hapo hazinaga nafasi kwa gallery yangu hivyo kuna selfie tu
Ila nataka uniambie hapo ni wapi ukipatia nakupa hela na una nafasi tatu tu za kuotea, ila hizo nywele fanya kama haujaziona. View attachment 1249723
We utakuwa una kitambi sio bureLeo nimekula mdudu wa Junction pub. Mzuri balaa. Yuko kama wa Juliana na Mibs sema ile utamu utamu ndo wameitoa. View attachment 1252120
Ankooooo. Mtoto wangu hajambo?
Ankooooo. Mtoto wangu hajambo?