Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]natumain kunasiku mtu atashtuka anashikwa bega wakt anakula miguu ya kuku na aliwaambia jf meneja wa kampun fulan kumbewatu wa selfika wanatembea na pichayako bhna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JF humu hakuna anayekula miguu ya kuku. Humu kila mtu keshatoboa maisha. Unaweza hata kujilaumu kuwa mbona mi maisha hayajaniendea vyema kama wenzangu? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom