[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani. Tutafanyaje sasa,wao ndo washaamua hivyoYaani acha tu
Kuna mtu ananichekwsha hapa halima akishinda anazima tv hapo hapo
LoooohHalima ndo kashinda aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani. Tutafanyaje sasa,wao ndo washaamua hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Makubwa ya jongo [emoji23][emoji23]
Nilale Sasa[emoji35]Halima ndo kashinda aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah shida tupu [emoji23][emoji23]
Hovyo kabisa,nilijua tu watampa wanaomtaka wao,Makubwa ya jongo [emoji23][emoji23]
Miss wa 2010 yule Genevieve ndo alikuwa chief judge sasa ni karefu ameona Angel mfupi sijui
Amempa mrefu mwenzio .
Ndo maana hatushindi aisee huko miss world
Huyo halima sikumpigiaga hesabu kabisa,Ah shida tupu [emoji23][emoji23]
Ah hawawezi kubadilika aisee
Mimi pia ila kalivyoingia sasa nikaona watampa sababu ana ile body ya umiss .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeishiwa pozzzMimi pia ila kalivyoingia sasa nikaona watampa sababu ana ile body ya umiss .
Ah balaa
Duh pole
Kuna mmoja huyo alikuwa mrefu hatari,was tanga,,yule alikuwa hana hata point,Ah balaa
Vipi umeme umerudi ?
Ulale unono,,aisee naona wamewasha[emoji1545]Duh pole
Hapo hadi asubuhi
Nikutakie usingizi mzuri
Washapindua meza,,,,Bongo bahati mbayaMtu anajibu ovyo hivyo
Angel anajua ngeli huyo halfu confident then pisi kali kweli
huyu ndo miss tanzania?