Lavender ni rangi nzuri ila ya Utulivu. Plus wewe si ndiyo designer??? Hiyo rangi imevalika sana last year hata this year; designer lazima uje na kitu Cha tofauti. Ungekuwa mgeni wa kawaida tu afu sio kwa jump suit hiyo ingekuwa sawa
Uzuri wa bathroom ( heater zao kubwa unaweza kaa nusu saa maji ya moto hayaishi na utamu mwingine kuna kioo kikubwa chini kuna bondee.. unaoga huku unapata view nzuriii unaweza kaaa huko bafuni hadi ukasahahu ππππ
Ikubane bana. Au kama ungeweza kugonga ka slit dress (mpasuo fulani hivi amazing) afu nyuma kuwe na tail. uuuuuuuuuuuuuuh (mjeda hatokubali kamwe)π€£π€£π€£
Shida ya ready made ndiyo hiyo; hadi upate kitu exactly unachokitaka