πΊπΊπΊπΊ umeona mie mgomvii eehπ¬π¬
Ahsanteeeeeh shouzzzz ake, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Huna mbambamba, umenyooka km ruler. [emoji8][emoji8][emoji8]
Mm kamati ya chakula kwakweli ndo mamboyangu mc siuwez kujielezea mwenyew tu na maishayangu changamotoπ€£π€£π€£Au nasema uongo ndugu mc[emoji3]
Ukaona mizinguoAh shida tupu
Ile ya Zuchu nilisema hii noma aisee nikaenda zangu kulala
Yaan i wish kweli ila hiyo ya pili ni kucroch naskia ukisuka zinauma kweliAh nzuri sana
Ukipata msusi akupatie vyema unatoka chicha mno
Nimepitwaaaa? Khaaahwapi twin akeeeeeeeeehhh[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531]!! !![emoji12][emoji12]
Yeah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemmisi mpaka basi hapa nataka niombe ruhusa nikamuone hata siku mbilitatu tukafanye fujo Huko aliko!
Weekend imeanza.
Bado hajatupia!!Fanya kumuita ajeWeee nmepitwaa?hebu nimuone shemeji. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
ππ Big boy eeeh muombe ruhusa basi tukatembee Arushaπππ
Jaman nilikua busy na Big boy, si unajua mambo ya weekendπ
Nawe pia.
Kikubwa kusikia tu,nani kashinda,,,,,naenda zangu kulala.Yeah
Usingizi muhimu kwa afya