Wala usiwaze sana Msukuma picha nime google huko😬Mpendwa. Picha hata sekunde mbili haijakaa. Imenigomea kwenye app huyo nakimbia kwenye browser nakuta ishafutwa. Siyo fair [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2232151
Nakwambia ni shida. Mtu unahaha kufuatilia picha umuone mpendwa halafu unakuta imeshafutwa. Yaani nimefanya kazi ya bure tu [emoji51]Nimechekaa
Pole sana
Naomba niione hata kama ni ya Guugo!Wala usiwaze sana Msukuma picha nime google huko[emoji51]
Haya,maelekezo tafadhali km hutojali nitumie hiyo browser sijuiSijawai tumia App toka nimeijua Jf toka . Mie ni browser na nikimaliza na clear kila kitu nikirudi nina login tena maisha yangu yote ya kutumia jf yamekuwa hivyo
Notification zimezingua tu ,subiri uone nafuta chap[emoji3]Nakwambia ni shida. Mtu unahaha kufuatilia picha umuone mpendwa halafu unakuta imeshafutwa. Yaani nimefanya kazi ya bure tu [emoji51]
Afadhali yako ukiweka hufutagi mapema [emoji122][emoji122]
Poleni wapendwa nashukuru mimi jf haijawahi nisumbuaNotification zimezingua tu ,subiri uone nafuta chap[emoji3]
Asante mpendwa. Halafu unatokea Tanga sasa. Jiiiiiiizazi! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kwa udhamini wa guugoView attachment 2232155
Yaani duh,mi mwenyewe haijawahi nisumbua ,nashangaa sshvPoleni wapendwa nashukuru mimi jf haijawahi nisumbua
Yani mimi naona browser ndio naifaidi JF vizuriSijawai tumia App toka nimeijua Jf toka . Mie ni browser na nikimaliza na clear kila kitu nikirudi nina login tena maisha yangu yote ya kutumia jf yamekuwa hivyo
Sio mimi na uhenga wangu huu nawezaje kufikia hapo tunatuma picha za ndoto zetu🤷🏼♀️Asante mpendwa. Halafu unatokea Tanga sasa. Jiiiiiiizazi! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Browser mi siwezani nayo kabisa. Huwa naitumia mara moja moja tu hasa nikitaka kupandisha attachments hasa vitabu na tuvideo tufupi fupi...Yani mimi naona browser ndio naifaidi JF vizuri
Zimefika mama Mshungaji🙏🏽😍
Story na kuselfika wadau
Miss you too dear [emoji7]Asante
Miss uuu
Sio mimi na uhenga wangu huu nawezaje kufikia hapo tunatuma picha za ndoto zetu🤷🏼♀️
[emoji3][emoji3]Asante mpendwa. Halafu unatokea Tanga sasa. Jiiiiiiizazi! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Amen. Ndio Mwana wa Mungu. Pale msalabani kuna mambo mengi sana ( spiritual yalitokea baada ya ile kauli ya imekwisha ) ndio maana unaona hata jua lilipatwa na giza likazima kwa masaa matatu ( masaa matatu kulikuwa na shughuli kubwa sana katika ulimwengu wa roho katika ukombozi wa mwanadamu ). Msalaba umebeba deep mysteries ambayo wachungaju wengi wameacha mafundisho yake ni wachache sana ambao unaweza kutana nao leo wakafundisha the mysterious behind the crossNimeelewa Baba Mchungaji. Kwamba "ushikaji" huu wa Mungu na Shetani wa kukaa na kupiga stori uliwezekana tu kabla ya dhabihu ya damu ya Yesu pale msalabani na tangu tamko la "Imekwisha" liliporindima katika kilima cha Golgotha shetani alikatiliwa mbali mazima pamoja na genge lake la vijana wa hovyo na hana access tena na mbingu.
Uko vizuri sana sema tu kichwa chako kina mambo mengi sana na wakati mwingine kinapata moto. Itabidi uanze kutulia sasa ili safari ya kurudi Ethiopia isije ikachelewa. Mungu na Akusaidie [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]