Nimeelewa Baba Mchungaji. Kwamba "ushikaji" huu wa Mungu na Shetani wa kukaa na kupiga stori uliwezekana tu kabla ya dhabihu ya damu ya Yesu pale msalabani na tangu tamko la ushindi la "Imekwisha" liliporindima katika kilima cha Golgotha na mabonde yake shetani alikatiliwa mbali mazima pamoja na genge lake la vijana wa hovyo na hana access tena na mbingu.
Uko vizuri sana sema tu kichwa chako kina mambo mengi sana na wakati mwingine kinapata moto. Itabidi uanze kutulia sasa ili safari ya kurudi Ethiopia isije ikachelewa. Mungu na Akusaidie
Sijawai tumia App toka nimeijua Jf toka . Mie ni browser na nikimaliza na clear kila kitu nikirudi nina login tena maisha yangu yote ya kutumia jf yamekuwa hivyo