Self tax assessment inafanyika vp?

rwego

New Member
Feb 17, 2012
1
0
Nimechoka na makadirio ya kodi kwani hata wakati ninapopata hasara au faida kidogo bado tra wanalima kodi ya juu na sielezwi jinsi wanavyo kokotoa esabu zao.nipeni elimu jf members.
 
you have to file tax returns (i assume you have a b'ness/coy which has tin number) declaring your your income and tax thereon, but you need to have audited financial statements to support the return and your returns should be certified by a registered tax consultants. You can therefore weigh these costs vs tra assessmebt which is just an estimate.
 
labda nkusaidie kidogo ingawa ungeenda TRA ungepata majibu zaidi (Tailored) to your needs ,hujasema ww ni mlipa kodi wa aina gani? presumptive au ni accounts case naposema nhivyo namaanisha income yako inagenerate kiasi gani kwa mwezi au unapata faida kiasi gani labda tuanzie hapo
 
Nimechoka na makadirio ya kodi kwani hata wakati ninapopata hasara au faida kidogo bado tra wanalima kodi ya juu na sielezwi jinsi wanavyo kokotoa esabu zao.nipeni elimu jf members.


ingia gharama kidogo kwa kutafuta Tax consultant akuelimishe kuhusu haya mambo.

hapa utapewa ideas lakini kama wewe ni mfanyabiashara wa ukweli basi huwezi epuka kuwa na consultant, its one of those cost of doing business the right way, always.
 
kuepuka longolongo, unatakiwa utafute auditor independent umpe hiyo kazi. Atakuelekeza kila kitu na kukuwekea mahesabu sawa. PM kama unahitaji huduma hiyo kwa kuanzia.
 
Back
Top Bottom