Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Mkubwa CCM ni chama kubwa, kuna njia za kuandaa rais, mbinu ya alivyopatikana JK will never ever repeat, ila njia iliyotumika kumuandaa na hatimaye kumpitisha JPM will forever be used. Hivyo hata mroge vipi hamtakuja kufahamu exactly rais ajaye. Hii inasaidia kumpunguzia rais ajaye kuwa compromised na wahuni. Faida ni jinsi Dkt Magufuli alivyo, he is so honest, humble na mwenye uzalendo wa hali ya juu wa kuipenda nchi yake, ametuvusha na sasa tunajisikia fahari ya kuwa watanzania
 
Kama mnaongelea 2025, watakuja kujitokeza vijana wengi wenye uwezo mtashangaa, the likes of Anton Mtaka.
 
Haiwezi kutokea PM atamaliza miaka yake 10 then 2025 anachukua nchi alafu PM wake anakuwa Anthony Mtaka
 
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
majaliwa kwani atataka kurejea tena mjengon tena so ndo muda wa kupumzika
 
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.

Jaffo ni mmoja wa products halisi za JPM hivyo waweza kuwa sawa na utabiri wako.

Ila kuna yule kijana mwingine anaelita lile jimbo ambalo sasa hivi limekucha hapa DSM, pia usimsahau nae yupo mbioni.
 
Nakumbuka Jaffo ilikuwa almanusura apigwe chini na Kingwendu kule Kisarawe, sasa huyu ndo awe Rais?
 
Jaffo Hana presidential charisma Hana hio kitu

CCM Kuna watu kibao wako vizuri

How comes Jafo over Hussein Mwinyi and January Makamba ,how comes? Big Mistake

CCM tulie this time leteni mtu aliepikwa from the beginning msitulee mtu aliibuka juu kwa juu kiss dini inambeba tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app

Makamba Ondoa kabisa hapo
Wameharibu sana tena na hii issue ya juzi ya Burundi ndiyo Kabisa
imewazika Mazima...
 
Mnafanya mwendelezo wa kutuletea maRais washamba. Rais with 0 exposure ya ndani na nje ya mipaka. Hapana bora HM na JM.
 
Hapana ana dharau sana mi nimeuliza kama kusherehesha yeye kaja kwa kijeli za dharau

Tena siyo tu kwamba nina Dharau sana bali pale nikikutana na Mpumbavu kama wa Mfano wako ndiyo ninakuwa na Dharau zaidi na Kali kabisa.
 
Unataka kusema Mungu alishindwa kumuondolea kigugumizi???

Kama Leo unashangaa akina Jaffo wenye hivyo Vigugumizi mbona huulizi kwanini Mungu huyu huyu amewaumba Vilema wengine wengi? Swine!!
 
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
Huwezi kuwa lundo la mawaziri wakuu wastaafu uncessarily. Majaliwa is there up to 2025
 
Back
Top Bottom