omari juma
Member
- Oct 13, 2015
- 39
- 1
yaliyo toka ni diploma na certificate kwa community health sijajua... kwani wewe unaomba course gani?
me nliomba community health
yaliyo toka ni diploma na certificate kwa community health sijajua... kwani wewe unaomba course gani?
naomba tu muelewe kuwa mishahara huwa haiuliziwi hivi.... na ndio maana hata ukimuuliza mtu analipwa shingapi wengi hudanganya...
unaweza kukuta walimu wote wanadegree lakini misharaha ni tofauti, usishangae, hata kwa nurses.. cha kuelewa ni madaraja ya mishahara tu... ukipata nafasi soma, malipo utakutana nayo mbele.
hii hatarii
nimeselect tena vyuo
coz sec.round nayo
simo!!!
We uliyechaguliwa Kampala hapo chuo kipo kiujanja ujanja mpaka Leo hakuna mwanafunz aliyetambuliwa na wizara ya afya nawala hawaajiriki as saiz kuna watu wameacha degree wameenda kusoma diploma lkn walipelekwa na TCU mi mwenyew nimeacha chuo saiz nimepangiwa Kilimanjaro school of pharmacy (kcmc) hapo mwanang tafuta transfer hcho sio chuo!!!!!
kwa walochaguliw vyuo vya goverment certificate ya nursing mmepata joining instruction jaman?naomba mnijuze tafadhal
aah poa sawa
vp jaman hz joining instruction ztatoka lini!!!????
jamani mimi nimechaguliwa sengerema nursing nauliza je kwenye transfer naweza kubadi nikachagua chuo cha clinical office
Umechaguliwa chuo gani?
me mpaka dk hii nikifungua nacte haifunguk je ni kwel matokeo yametoka jaman