Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
wadau kuna mpya gani wale wa 2nd round na wale wa community health.
Kuna dada mmoja aliomba community health mpaka sasa kimya ivi ile inakuaje apoo
wadau kuna mpya gani wale wa 2nd round na wale wa community health.
mwenyew naenda kupiga clinical medicine lakini sielewi nn kinaendelea until now
haya sasa leo ndio leo,ikifika saa tisa hujachaguliwa chuo basi jaribu mwakani maana usajili unafungwa. mliochaguliwa hongereni,mliokosa poleni nafasi ipo mwakani na sie watoto wa mama tunaobagua vyuo vya kwenda imekula kwetu na elfu 30 imeliwa
Kwani leo kwa wale 3rd Round ndioo wanapata Post????
mm nadhani watatoa kati ya trh 19-23 next wk
Naendelea kusistiza usije kufa kwa presha, kama umekosa chuo cha afya diploma or certificate kwa afya hasa clinical officer, Nursing and lab tech njoo pm weka phone no yako tufany mawasiliano uende chuo.

goverment offer ya medical equipment
Dual Head Stethoscope 25000
Aneroid Sphygomanometer 30000
Tape Measure 1000
Manual Clinical Thermometer 3000
digital clinical thermometer 5000
pen torch 12000
Turning Fork 15000
Patella Hummer 18000
hivi hua vinauzwa wapi vilee????
hivi hua vinauzwa wapi vilee????
Jamanii kwa walio chaguliwa vyuo vya serikali...Leo nimeongea na mkuu Wa chuo flan hivii amenambia...wapo Dodoma wanapanga ada iwe sh.ngapi cz chakula tutajitgmea...!xo amenambia nimpgie cm kesho asubhii mida ya saa1 kabla hajaingia kwnye kikao cz hawaruhucwi cm...ndo akamalizia na kusema hiyo ndo sababu ya kuchelewesha joining instruction......!!!!!
Dah na sisi wa 3rd round ni vipi maana leo si ndio dealine ??
Duh....ckuulizia cz nahic hiyoo 3rd inawahuxu xanaa nacte au....???mm nililengaa sana joining instruction ndiyoo manaa nilimpgia mkuu Wa chuo aliyeteuliwa kwny kikao hicho cha dodma
Duh....ckuulizia cz nahic hiyoo 3rd inawahuxu xanaa nacte au....???mm nililengaa sana joining instruction ndiyoo manaa nilimpgia mkuu Wa chuo aliyeteuliwa kwny kikao hicho cha dodma