puppa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 379
- 176
oya me mbona profl yang hakun kitu chochote nkwel yametoka
yaliyo toka ni diploma na certificate kwa community health sijajua... kwani wewe unaomba course gani?
oya me mbona profl yang hakun kitu chochote nkwel yametoka
inategemea na ukubwa wa tumbo lake...anaweza kula wali nyama nusu na maji lita mbilibro ISLETS nurse diploma anakula kiasi gani? kwa sababu bro wangu ni mwalimu ana degree after makato anakula laki 5.2 hivi
(2)na diploma clinical medicine anakula kiasi gani?
kwa ngaz ya diploma ni lak 7+ baada ya makato na wa2 weng waliosoma degree huwa huwakuti maospitalini but wanakimbiliaga TFDA na TBS
tuko pamoja mkuu
kwa upande wa phamarcutical science huwa wanapewa ishu za kusambaza dawa maospitalini kwa wale wa diploma za phamarcy kama ukiajiriwa serikalini na wale wenye digree wengiwao utawakuta kule MSD-tabata nafikiri ndo bohari ya dawa ya serikali pekeyake ila kuna nyingine kubwa ipo pale mwenye inaitwa shelly hyo ina dili na kutengeneza dawa na kuiuzia serikali pia zipo bohari ndogo ndogo za wahindi kule kariakoo
inategemea na ukubwa wa tumbo lake...anaweza kula wali nyama nusu na maji lita mbili
Habari wakuu...
Mi nimechaguliwa diploma ya medicine!!na ndo ndoto yangu kubwa ili niwe MD..!!nimepangiwa st aggrey mbeya tuition fee milion 1.9 hostel milion 1.1!!nimeaamua kupanga nje ya chuo naona gharama zimepungua kiasi flani..je kuna faida gani na hasara ya kukaa nje ya chuo..?maana nimeokoa zaidi ya laki tano..!!
inaonekana una matatizo ya akili..afya wito nanga wewe!!kama unatafuta mshahara kwenye sector ya afya hufiki mbali...nanga wa demo weesio kosa na wala siwezi kukukasirikia tatizo ni hiyo mimba yako changa inakusumbua.
kwa ushauri wa bure nenda ukalambe limao na udongo ili upunguze munkari uku ukiwa unamsubiria mumeo.
kwa vile hautaki hostel ila kuwa makini usije ukapata mimba za utotoni.
Huo ni mshahara wa lab technologist mwenye degree(980000 bila makato),wa diploma hafiki huko kijana wangu
inaonekana una matatizo ya akili..afya wito nanga wewe!!kama unatafuta mshahara kwenye sector ya afya hufiki mbali...nanga wa demo wee
Poa mdau...ila mi ni mwanaume...!!
Anaejua mshahara wa medical lab ngazi ya diploma??
wewe kasome hayo mambo ya mishahara saivi ya nini?
Anaejua mshahara wa medical lab ngazi ya diploma??
hapo kaka mwenye diploma ya medical lab science analipwa mshahara wa sh ngapi?
bro ISLETS nurse diploma anakula kiasi gani? kwa sababu bro wangu ni mwalimu ana degree after makato anakula laki 5.2 hivi
(2)na diploma clinical medicine anakula kiasi gani?
Huo ni mshahara wa lab technologist mwenye degree(980000 bila makato),wa diploma hafiki huko kijana wangu
Da!!kaka kama ujuh nyamaza. wewe kusema nisome unanilipia karo???