Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Jaman nisaidien mshahara wa clinical officer,nesi diploma,na nesi degree unatofautiana vp
 
Jaman nisaidien mshahara wa clinical officer,nesi diploma,na nesi degree unatofautiana vp

Ni Kweli maisha Ni pesa, ila hayo masuala Ni wito.. Wito wako Ni upi.. Nursing or Clinical Medicine!?

At last mshahara Ni siri ya mtu.
 
Natumai mu-wazima kabisa.
Haya, kama wanavyosema watu kuwa "JASIRI
HAACHI ASILI" kwa hiyo si vibaya tukiendelea
kuangalia vile vitu ambavyo vinapatikana katika
ASILI YETU YA KIAFRIKA na kutokukubali kuwa
WATUMWA kwa sababu tu "MSAHAU/MKATAA
KWAO NI MTUMWA" sasa basi tusiwe
WATUMWA kwa kukataa vya kwetu na
kudumisha MILA ZA WENZETU na ndio maana
wenzetu wamekuwa wakiendelea kwa sababu tu
wamekuwa wakidumisha MILA zao vile
inavyotakikana kuliko kutukuza MILA ZA
WENZAO.
Sasa leo kuna hii dawa ambayo inajulikana
kama MVWAZA au AZMAH, inaweza ikawa
umeshawahi kuiskia labda, au kuambiwa
pengine au hata kuitumia pia, labda inaweza
ikawa inajulikana kwa jina jingine kwenye kabila
lenu yawezekana lakini kwa mimi naifaham
ikijulikana kwa jina la MVWAZA au AZMAH.
Dawa hii inatumika kunako mambo kadha wa
kadha kama nilivyokwisha dokeza kunako
kichwa cha habari hapo juu kuwa, inatumika
kuleta mvuto kwa mtu, kama ulikuwa ni mtu wa
kuchukiwa na watu ama kutokupendwa tu bila
sababu yoyote basi watu wakatokea
kukuchukia, dawa hii kazi yake ni kukuongezea
mvuto kwa kiasi kikubwa mno.
Wataalam wanashauri unapokuwa na dawa hii
inatakiwa kuwa makini sana hasa na jinsia
tofauti kwa sababu unapoinuia basi yenyewe
hufanya kazi kama vile ambavyo umeinuia, hasa
kwenye suala la mvuto kwa mwanamke
utakuwa ni mwenye mvuto mno kwa jinsia ya
kiume na pia kwa mwanaume huamsha sana
hisia za mvuto kwa jinsia ya kike na vinginevyo.
Dawa hii kazi yake nyingine ni kupumbaza mtu
ambaye utamkusudia kwa lengo maalum,
mathalan ; Natumai mtakuwa mmeskia labda
mtu akitafutwa na polisi na utakuta polisi
anakufaham na mkapishana kabisa pasina
shaka yoyote bila ya kukukamata.
Au utakuwa umeskia labda mtu ana kesi
mahakamani, pengine ni kesi kubwa tu ambayo
kwenye mazingira ya kikawaida inakuwa ni
ngumu kuchomoka, lakini kwa dawa hii ni
jambo la ajabu sana ambalo utaweza
kushangaa na utaskia mtu mwenye kesi husika
akishinda kesi au akaachiwa huru kuonekana
kuwa hana hatia au akashinda kesi kwenye
mazingira ya kutatanisha kabisa.
Dawa hii pia inaweza kumpumbaza mtu akiwa
dukani au hata njiani na ukamuamuru mtu
husika afanye jambo fulani labda unaweza kuwa
umeskia kuwa mtu ameuziwa hata kipande cha
chupa akiambiwa kuwa ni ALMASI na asielewe
mpaka pale anapokuwa ameachana na huyo
aliyemuuzia ndipo anapokuja kugundua kuwa
alichouziwa si kitu ambacho alichokuwa
akikitarajia kuwa ndio hicho.
Yani unapoitumia inakuwa kama inampumbaza
au kumfunga mtu husika hata kwenye kuongea,
ni wewe tu ndiye unakuwa ukiskilizwa.
Wengine wamekuwa wakiitumia kuwapumbaza
watu kwa kutumia labda pesa bandia kwa
kumpa mtu wa dukani au pengine hata m-pesa
au tigo pesa then utakuta mtu anakuja
kugundua baadae kabisa kuwa alizopewa ni
pesa bandia, na anaweza akagundua ndio lakini
bila ya kujua ni nani aliyemkabidhi pesa hizo
feki.
Kwa kifupi ina mambo mengi sana na uwezo wa
ajabu kabisa. Hiyo ndiyo MVWAZA au AZMAH
wapo wengi wakiitumia dawa hii na pengine
waweza kuwa umeiskia au kuambiwa mahala,
au labda na jina linaweza kuwa ni tofauti ila
kazi zake zinaweza kuwa ni kama hii kwa
asilimia 100, sasa sjui kwa kwenu mtakuwa
mnaiitaje lakini kwa mimi naifaham ikijulikana
kwa jina la AZMAH.

Dawa hii inawafaa wanafunzi kwa sababu itawarahisishia maisha ya chuoni mfano huna hela na ada unadaiwa basi ukisema tu sina wanakupa muda wa kutafuta. yaani jina lako litatamba popote hakuna kudisco yaani full kufaulu.

tumeanza ofa yetu itadumu mwezi mmoja,kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa namba 0718151415
 
Jaman nisaidien mshahara wa clinical officer,nesi diploma,na nesi degree unatofautiana vp

mshahara wa nesi wa diploma na clinical officer unaringana but nesi wa degree anawazid mshahara hawa wote
 
nasisitiza tangazo hapo juu ofa bado inaendelea wahi
 
Habari wakuu...wale wa st aggrey college of health naomba tuwasiliane kwa 0714415027..!!nawatakia uchaguzi wa amani watu wote
 
Vipi mwenye update za community health please??
 
Community health selection zilitoka ila cjui kama kuna mtu profile yake imebadilika! Mim nlichaguliwa nanika confirm japo cyo kupitia kwenye prfl

ulijuaje kama umechaguliwa na uli confirm wap nami nijaribu mdau
 
Vipi mwenye update za community health please??

nacte tayari wameachia leo kwa wale wa diploma, certificate na community health ingia ktk profile yako.. mimi nimechaguliwa chuo cha sengerema training center for clinical officer
 
usipende kuzungumza kitu ambacho huna uhakika nacho, community health bado hawajatoa labda kwa diploma na certificate.

ndicho alichokimaanisha mkuu, labda hujamuelewa Embu rudia alichokiandika utamwelewa
 
usipende kuzungumza kitu ambacho huna uhakika nacho, community health bado hawajatoa labda kwa diploma na certificate.

sasa niwadanganye watu ili iweje? mimi leo nimechaguliwa diploma ya clinical medicine na nime confirm.
uwe unasoma vizuri na kuelewa sio unapanic bila mpango.
 
nurse wadiploma anamzidi mshahara mwl mwenye degree


aisee usidanganye watu, hata mishahara ya walimu inatofautiana sasa usikariri, nurses wa diploma wanazidiwa mshahara na walimu wa degree...
 
aisee usidanganye watu, hata mishahara ya walimu inatofautiana sasa usikariri, nurses wa diploma wanazidiwa mshahara na walimu wa degree...

bro ISLETS nurse diploma anakula kiasi gani? kwa sababu bro wangu ni mwalimu ana degree after makato anakula laki 5.2 hivi
(2)na diploma clinical medicine anakula kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom