binti makini
New Member
- Oct 18, 2015
- 4
- 0
nmepata tangu oct 18 , yaaah chuo cha gvt na 2na ripot nov 2
Ntakutafuta usijar GRABrielkashasha
kilichokuchekesha ni nini sasa? acha akili za kunguru
ustadh nisaidie namba za NACTE
Ustadh samahan bhana,nixaidie hcho chuo cha Kigoma COT detail zake pia na manzal
Ntakutafuta usijar GRABrielkashasha
Duuh.....hongera yenu cz mim nimechaguliwaa Mtwara school of nursing bt nahic badoo....!bt c mme2miwa kwnye email?
Pole unapanik nini sasa .
Ww nenda mirembe nursing ukasome ....
puppa mbona siku hizi umekuwa mkali sana mdg wangu
wale wa st Aggrey joining instruction za kozi za afya zimeshatoka kitambo, mm nimefatilia jana nmepata leo,!
oy nisaidie jinsi ya kupata hizo mambo coz nimejaribu malanyingi sana kila niki open email yangu hakuna kitu au nichec kwa 0753467401
mimi sijapanic chochote tatzo wewe ulivyosikia mirembe ukaanza kujichekesha ki kike..
akili zako zimekaa kimbea, halafu mimi sipo hapo mirembe nursing.
Usenge sipendi .
kwani mm kucheka imekukwaza kipi.
Na ww cheka basi.
mtu unakuwa kama hugongwi
Sisi sio wamoja. kila mtu ana maisha yake.
Eti mtu aje kunizingua kingese kingese ata siku moja..kisa kucheka
kama una matatizo yako unakausha sio hasira zako utafute wa kumshushia.