gabrielkashasha
Member
- Oct 3, 2015
- 53
- 0
kwa hyo medical lab hiko fresh ajira zake zko faster ee??
kwa hyo medical lab hiko fresh ajira zake zko faster ee??
Jamani kuna mtu aliye chaguliwa kampala University humu tupeane imfo
Jamani vp kuhusu chuo cha tandabuii kina usajili wa kudumu au????
Nisaidieniiiiiii.!!!!
TANDABUI INSTITUTE OF HEALTH SCIENCE TECHNOLOGY
institution detail
REG\HAS\117
Region:mwanza
District:nyamagana
Municipal Council Fixed Phone:0767 227276
Phone:0767 227276
Adress: P.O.BOX 1719
Email:info@tihest.org
PROGRAME OFFERED BY THIS INSTITUTION.
Technician Certificate In Clinical Medicine (Nta Level 5)
Ordinary Diploma In Clinical Medicine (Nta Level 6)
Technician Certificate In Medical Laboratory (Nta Level 5)
Ordinary Diploma In Medical Laboratory (Nta Level 6)
Technician Certificate In Nursing (Nta Level 5)
Ordinary Diploma In Nursing (Nta Level 6)
Nadhani Nimekupa Maelezo Yakujitosheleza Mkuu Pia Chukua Hizo Namba Za Simu Uwasiliane Nao Hapo Tandabui. Kama Hujatumiwa Joining Instruction Waambie Wakutumie Via Your Email Adress
bado, vp kuna taarifa yoyote?wale wa community health selection zenu bado hamjapata?
Asante mkuu na join wamenipa yan nachotaka kujua usajili wake n wa awal au wakudum??? Kwa anaejua
We uliyechaguliwa Kampala hapo chuo kipo kiujanja ujanja mpaka Leo hakuna mwanafunz aliyetambuliwa na wizara ya afya nawala hawaajiriki as saiz kuna watu wameacha degree wameenda kusoma diploma lkn walipelekwa na TCU mi mwenyew nimeacha chuo saiz nimepangiwa Kilimanjaro school of pharmacy (kcmc) hapo mwanang tafuta transfer hcho sio chuo!!!!!
Nimechaguliwa kampala leo nimeenda kuchukua join instruction nitafute 0178151415
bado, vp kuna taarifa yoyote?
We uliyechaguliwa Kampala hapo chuo kipo kiujanja ujanja mpaka Leo hakuna mwanafunz aliyetambuliwa na wizara ya afya nawala hawaajiriki as saiz kuna watu wameacha degree wameenda kusoma diploma lkn walipelekwa na TCU mi mwenyew nimeacha chuo saiz nimepangiwa Kilimanjaro school of pharmacy (kcmc) hapo mwanang tafuta transfer hcho sio chuo!!!!!
anae juwa au ambae amechaguliwa AMO TRAINING CENTRE TANGA.anambie pakoje no,0753440127
Kampala hawana usajili wowote yan icho chuo niujanja ujanja yan hawana hata provisional from any health board