Selection UDSM 2014/2015

Selection UDSM 2014/2015

dah kuna watu hawaridhiki! mchana kutwa mlikuwa wapi? saa hizi mnasumbua watu wanataka kupumzika? heb kuweni na huruma. waacheni watu walale. kuanzia kesho mtu yyt ataehitaji kuangaliziwa udsm ntatoa ofa kuanzia saa nne ili usiku uwe ni muda wa kupumzika.tusameheane kwa hili. over
 
au sio
 
Tafadhal niangalizie jina hili
bonaventure gerad tesha
 
we mwenyewe shahidi kuna watu humu hata hawajali muda. ndio maana inno anawaambiaga mia nane maana free mijitu inaropoka tuu. saa nne hii watu tuache kufanya maskolokwinyo nakaa kwenye pc bure tuu kisa imani! hata kuna baadhi ya vitu hitler alikua sawa na havikua dhambi so mm kukukatili sio dhambi.
 
Back
Top Bottom