Selection second

TCU kuna list ya waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja ila wale waliopata chuo kimoja sijaona ila vyuo husika kesho watabandika
 
Jamn vp tulioapply second round na majina hayapo kwnye majina walotoa TCU.. lkn profile zetu azijabadilika chochote?
 
Wamefanya hivo kwasababu kuna watu wamepewa nafasi ambao hawakuapply 1st n 2nd round kuna wengine waliomaliza system ya Cambridge
 
Me sijui mkuu ila kuna vyuo baadhi naona wamesha post ila kuna vyengine bado

Ila nakushauli tu maana 3rd wanafunga leo sasa kama unasubir udom au udsm had wapost ndo uangalie na uwez ukajua kama umepata bora uapply vyuo vingene vya private ambako amna competition kubwa sana kama hivo vya govt

Kingine ukiangalia kwenye baadhi za kozi pale udsm admission capacity yake na idadi ya single select 1st bach na watu ambao hawaja confirm unaona kabisa kuna baadhi ya koz hawatawez kuongeza
Kwahiyo ukiapply 3rd round angalia na admission capacity kwa kila koz
 

NDhan wengii humu walikuwa UDSM wameshajibiwa now wamekaa kimya na majibu yao
 
NDhan wengii humu walikuwa UDSM wameshajibiwa now wamekaa kimya na majibu yao
Mkuu mdogo wangu kachaguliwa mkwa bachelor of education in science sasa sijui kuna tofauti gani na bachelorof science with education
 
Wakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya majina ya second selection ya chuo cha sua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…