Selection second

daaaaaah jaman hivi kuna aliyepata single selection za kcmc ,cuhas ,muhas ,& udom maana tumbo joto huku ndugu zangu na kesho ndo hyooooo msaada wakubwa
#######NAWASILISHA
 
Mnaharibu lugha za watu bhana! Siyo Selection second in Second selection
 
Huu mfumo ni pasua kichwa kweli kweli mpaka sasa vyuo kama mzumbe, udom and udsm hawajatoa majibu kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja kati ya hivyo, mwisho wa kutuma maombi awamu ya tatu ni hiyo kesho sasa huo muda unapatikanaje?
nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwa
 
Safi sana umefanya jambo LA muhimu pia wale wa Mzumbe nimewasiliana nao kuumuulizia mwanangu wamenijibu kesho watamaliza kazi
 
Huu mfumo ni pasua kichwa kweli kweli mpaka sasa vyuo kama mzumbe, udom and udsm hawajatoa majibu kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja kati ya hivyo, mwisho wa kutuma maombi awamu ya tatu ni hiyo kesho sasa huo muda unapatikanaje?
nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majina mengine hayajatumwa
 
sawa
 
nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwa
Let wait du ila kweli wanatukomesha aisee
 
nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwa
tuzidi kujuzana kwa taarifa zozote zile zitzkazo jitokeza wanajf maana daaaaah wengne aman imetoweka.......
 
SUA na UDOM tujuzane watakapotoa second selection,

Alafu pia najiuliza ni kwanini hadi sasa hawajatoa majina ilihali tcu wanasema mwisho wa third round ni tarh 26
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…