johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,805
- 143,278
Cc Mbowe
Halafu anadai ye kijana? Aioni ile breach nn?? HasituzingueHapa moja kwa moja sultan mbowe amepopolewa. Kumbe selasini ni mwamba hivi
Inakera?Mbona umeandika title ndefu hivyo?
Unaandika kama unapayukaInakera?
Wapinzani huwa tunaumizana wenyewe na kusingizia Wasiojulikana amesisitiza mzee SelasiniUnaandika kama unapayuka
Nimeipendaje hiyoMakamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema ni ajbu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20 na zaidi kwani ni kuwanyima Vijana fursa za Uongozi
Mbatia aliwafukuza mzee Mrema na David Kafulila sasa iweje nongwa yeye kuondolewa? Ameuliza Selasini wakati akiongea na Waandishi wa Habari mjini Dodoma
Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama kwenye mgogoro huo kwani hayo ni mambo ya NCCR wenyewe
Licha ya kupayuka uzi umedodaWapinzani huwa tunaumizana wenyewe na kusingizia Wasiojulikana amesisitiza mzee Selasini
Hahaha........!Licha ya kupayuka uzi umedoda
Ngoja nikuongezee comment upande
Mbona umeandika title ndefu hivyo?
Hahaha.....!Nimeshangaa!.
Nadhani anajifunza mbeleni na atakuweza kuandika title fupi.
Hasituzingue!Halafu anadai ye kijana? Aioni ile breach nn?? Hasituzingue