SEKESEKE: Wapangaji Majengo ya CDA Dodoma wanatimuliwa muda huu

SEKESEKE: Wapangaji Majengo ya CDA Dodoma wanatimuliwa muda huu

Hadi Raha, ila hainingii akilini eti ghafla-ghafla tu wahamishwe....kutakuwa na jambo kabla ya uamuzi huo wa kuwahamisha kwa nguvu kwa sababu kama mtu unalipa kodi vizuri sioni tatizo kwa nini wakuondoe haraka-haraka hivyo.
 
Haiwezekani wakawatimua tu, yawezekana walishaambiwa na wanajua wakawa wagumu kutekeleza, kama itakavyokuwa kwa wale ambao hatutaenda Dodoma end of the month kukawa hakuna mshahara mtasema ni unyama. Ya kaisari mpe kaisari, the rule of the world
Huu ulikuwa ni mpango wa muda mrefu mpk kesi zilifunguliwa na hukumu kutoka. Hapa watu wasiojua wanaweza kufikiri ina uhusiano na kuhamia Dodoma
 
Apo si magorofa machafu ya Iringa road?? Wacha waisome namba tena wengi ni mashabiki wa ccm na km sikosei viongozi wengi wanakaa mitaa ya chini tu apo,reli kwa nyuma ivi!
 
Apo si magorofa machafu ya Iringa road?? Wacha waisome namba tena wengi ni mashabiki wa ccm na km sikosei viongozi wengi wanakaa mitaa ya chini tu apo,reli kwa nyuma ivi!
Mbona wakati wanarepea magorofa ya uhindini hawakuhamisha watu kuna namna
 
Hahahahahaaa hao ni wana chichiemu kindakindaki hahahaaa wanaisoma namba sasa aisee hatare sana!
 
Back
Top Bottom