Seith Chachage

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Huyu Bwana napenda sana kuzijua habari zake.
najua aliandika kitabu cha MAKUWADI WA SOKO HURIA, napia alifanya utafiti wa mradi wa kamba kwenye Delta ya mto Rufiji.
Naomba mnisaidie ili nimjue vyema zaidi yeye na falsafa zake, maaana mwaka mmoja baada ya kifo chake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiliandaa wiku nzima ya kuzienzi fikra zake.
je kwanini hakuingia kwenye siasa? Aliwezaje kujipenyeza hadi kwa wananchi?
 
Alifariki ghafla hotelini Njuweni Kibaha.

I miss him too. Nakumbuka jinsi alivyoweza kuwashawishi jamaa pale UTAWALA(kunji la mwaka 2000) wakiwa wametapakaa mpaka kwenye mdegree pale wamekaa chini wanaimba nyimbo za kumuenzi baba wa taifa,watu walisema hawaondoki pale lakini prof. huyu aliweza kuwashawishi na kuwapeleka Nkrumah Hall kwa ajili ya kuanza kutoa hoja. He had brilliant arguments. RIP prof. Chachage.
 
Unapenda Kunji eee
 
I never met him, but he made me proud to be a Tanzanian. Nimesema Tanzania kuna vichwa!
 
I never met him, but he made me proud to be a Tanzanian. Nimesema Tanzania kuna vichwa!

He was a good man, Nimekua na mtoto wake wa kiume (mdogo-Isaka) ambaye ni best friend wangu, nimekaa miaka minne UDSM nikiwa kiongozi na hayo makunji mengi jamaa ndiyo alikuwa msuluhishi mkubwa na mzuri. Ugomvi wa wa mwisho kuamua ulikuwa ni wa DARUSO kutaka kupinduliwa ambapo nilikuwa mmoja wa mawaziri.

Ukimkuta baa akipiga uraji basi yuko na watoto wa mjini wa aina zote rika na class zote, hakuwa na ubaguzi wala hakujiona msomi

Kifo chake kina story nyingi sana, ambazo mola tu ndiye anayejua ukweli.

I is the man who inspired me to a lot kwenye politics, alikuwa free thinker, Ana mtoto mkubwa wakiume ambaye yuko Citizen he is real doing good and his articles are challenging his name is Chambi Chachage

He was good, alichallenge tawala zote kwa akili na solutions, however, alikuwa mfuasi mzuri sana wa Nyerere,japo kuna wakati walihitilafiana katika ideology zao na kufanya watu wawe wana compare Nyererw anasema nini na Chachage aanasema nini! ila tawala zilizofuatia walimuona ni radical

JK alionana naye prior to presidential election, na hakuamini alipoona Chachage anampigia makofi! JK akasema "kweli nakubalika hata chachage amenipigia makofi!!!" sijajua kama ukipigiwa makofi ndiyo kukubalika au... tuache hayo sikupata kumuuliza view zake kwa JK.

soma article moja hapa

Ujue mkuu na JKN wanaelekeana kivipi japo iko sahllow lakini itakuoa insight kuwa he was a man of integrity:

http://majimbokenya.com/home/2008/07/25/pan-africanism-how-chachages-vision-mirrors-that-of-mwalimu/

Ndio dunia wakuu tunapita
 
He was a radical socialist na alikuwa kati ya watu wa kwanza kupinga uwekezaji kiholela na uuzaji wa mashirika ya umma kwa mataifa ya nje na yasiyo na uchungu na nchi hii.
Leo imeonekana kweli maana kati ya mashirika mengi yaliyo uzwa ni machache sana yanayoishi leo.Tumepoteza ajira nyingi sana kwa vijana wetu.
Dr Chachage ali argue kuwa kama kuna wawekezaji , basi vile vile tukubali kuwa wawekezwaji!!!!
 
kile kilikuwa kichwa hasa.......... ana reckodi pale UDSM ya kuwa mhadhiri aliyepata uprofessor kwa kasi zaidi kushinda wote............... RIP kamanda........
 
" solidarity forever, Kama sio nguvu zake Nyerere, Nina imani na Daruso...oya oya oya!!" hayo masongi enzi hizo pale Nkrumah palikua hapatoshi. Maisha ya Mlimani enzi hizo yalikua very special experience kwangu.
...hebu tukumbushe, ni miaka gani hiyo? Unaijua Rev Square weye?
 
kile kilikuwa kichwa hasa.......... ana reckodi pale UDSM ya kuwa mhadhiri aliyepata uprofessor kwa kasi zaidi kushinda wote............... RIP kamanda........

RIP Comrade Chachage.

Just to keep the record straight, rekodi ya mhadhiri aliyepata uprofessor kwa kasi kushinda wote Tanzania inashikiliwa na marehemu Prof. J F Rweyemamu. Msomi huyu alipata uprofessa UDSM akiwa na umri wa miaka 29, mwaka 1971. At that age alikuwa tayari ana machapisho kadhaa.

The legend we are discussing in this thread became associate professor in 1995, at 40 and full professor in 2003.

TZ was blessed by these heavyweights, not forgetting, marehemu H Othman, W Rodney, Leonard Shayo.
 
Ahsante Prof. kwa kuweka kumbukumbu vizuri.
 
...hebu tukumbushe, ni miaka gani hiyo? Unaijua Rev Square weye?

Hizo ni enzi zile Kusaja kaingia mitini... hahaha
Pale rev square kuna jamaa alikua kila akisimama kuongea lazima aanze na neno: "intellectuals". Wakawa wamempa hilo jina.
 
Back
Top Bottom