Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

Hizo zinajulikana kama ni sehemu za kujiuza na kununua
 

Mkuu hata wanaoenda huku wanajua wanaenda kufanya nini........Kuna service nyingine hauwezi kupewa na mwenza wako zaidi ya huko kwenye "masaji" .....Heshimu biashara za watu waache wajiingizie kipato maana haufungwi kamba kwenda pale ,unaenda kwa ajili ya masaji kama ukihitaji huduma ya ziada hayo ni mambo yao ambayo hata kwenye daladala watu wanatongozana.
 
Usipo weka mkasa walau kidgo kwa uliyo yaona huu utakuwa ni umbea ......
 
Kuna saluni inaitwa bahari barbershop Kuna totoz pale nikiwa na magenye naendaga tu pale kufanyiwa massage na shoo napewa saaaaafi

Unaharibu soko na uhusiano wa watu ,imagine mtu ana mkewe/GF/Mchumba wake anafanya kazi hapo unamuweka kwenye mazingira gani? Pia kuna watu wanaenda kwa ajili ya kunyoa coz ina mazingira mazuri na ipo barabarani je ushasema kwamba totoz za hapo zinatoa mzigo hauoni kwamba watu wanaoenda kunyoa wataogopa?
 
Hakika
 
Kwanini umruhusu mkeo/ mumeo aende kufanyia massage wakati wewe mwenyewe unaweza kum- massage? Haingii akilini kbsa
Massage ni kazi professional kabisa. Watu wa massage wanatumika zaidi kwenye michezo. Massage ukiikosea inaweza kuharibu mishipa na kuleta matatizo makubwa. Kwenye kambi za riadha ni kawaida kukuta msichana yuko na kichupi anafanyiwa massage huku chumbani kukiwa na wanaume pia. Tatizo ni fani kuvamiwa na wazinzi waliobadilisha massage kuwa jambo la kuchochea uzinzi.

Enzi nikiwa mdhambi nilikuwa naenda massage pale Magomeni Usalama ila lengo likiwa kumla yule dada wa massage. Wazinzi tulimtajirisha yule dada. Ni kama na yeye aliingiza hisia juu yangu tukawa karibu sana akawa ananieleza kinachoendelea mle. Baadae tukawa wapenzi ila kwa masharti ya kutoingilia kazi yake. Bahati nzuri penzi lilivunjika tukabaki tu na urafiki na pia nikaachana na uovu. Nikivuna mbaazi zangu nitakuja Dar kumtembelea.
 
Tatizo ni serikali kuruhusu watu holela kujiingiza kwenye biashara hii, Inatakiwa mtu profesional aliyesomea na kuhitimu. Ina miiko yake ambayo ni lazima ifuatwe!. Kinyume chake malaya ndo wanafanya kazi hiyo, wanachojua ni kushika shika watu tu! Kwanza mhudumu wa massage hapaswi kuwa uchi uchi, Anapaswa avae rasmi kama nesi!! Hapaswi kukushika sehemu chini ya kiuno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…