Sehemu za kutembelea hapa Dar

Umesahau msitu mwengine, unaitwa Pande, upo huku mabwepande, maeneo ya jirani na huko ni, madale mbopo, bunju, mpiji magoe na mbezi msumi
Tena nayo ina kabwawa katikati kama hizo mbili
 
Je usalama hupo?
 
Je usalama hupo?
Usalama upo bro. Sio mchana wala usiku. Usalama mkubwa sana. Ni misitu iliochini ya TFS (Tanzania Forest Service) Agency.

Diamond Platnumz ndio ameupa umaarufu zaidi baada ya kupigia baadhi ya vipande kwenye video ya Mtasubiri alioimba na Zuchu.



Lakini pia wakati Jokate ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe alikua na campaigns nyingi sana kule kama Ushoroba Marathon na pia aliwahi mtumia Diamond kama balozi kutangaza utalii wa pale Ushoroba.



Baadhi ya picha (Sio zangu hizi)



 
Pako vizuri sana
 
Hayo maeneo unaweza kwenda hata na familia yako mkaspend masaa 12 mkarudi nyumbani usiku, relaxation ya kichwa lakini pia ubongo uliozoea kelele unapokua kwenye nature huko unaongeza vitu vipya unaweza kwenda hata kutulia na kujisomea tu kitabu au makala mbalimbali na sio lazima unywe muda wote vikali, NATURE REFORMS THE BRAIN.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…